Raisi Samia sasa ndiyo anaamka usingizini na kugundua Sirro sio IGP mzuri. Sirro aliwekwa kwa ajili la kuwapiga na kuwanyanyasa wapinzani wakati wa Rais Magufuli lakini hakuwa na uwezo wala busara za kuwa IGP.
Polisi ndiyo walikuwa wabebaji wa kura za wizi kila mahali kwenye uchaguzi 2020...
IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji.
Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai.
IGP Sirro ameahidi kupeleka...
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
afukuzwe
ajiuzulu
astaafu
busara
igpigpsirro
kazi
kuendelea
kujiuzulu
kuwepo
nyakati
ofisini
raia
rais
rais samia
samia
sirro
taifa
taifa letu
usalama
usalama wa raia
Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya kuboresha utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na kwa nia njema tu.
Mkoa wa Simiyu unahitaji mtu...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo.
IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
Jumatatu taarifa ya habari ITV saa mbili usiku ulionekana ukitushawishi wananchi tupate mafunzo kwenye chuo nilichokitaja kinachotoa mafunzo ya uokoaji wa raia majini, pamoja na mafunzo ulitueleza kuwa ada ni nafuu.
Pamoja na ada kuwa nafuu bado ni vizuri utueleze kama sheria za nchi...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni.
Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
Wakuu salama,
Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
Mwandishi huyu kajitahidi kumkosoa Sirro.
Bahati mbaya sina ruhusu ya kukopi makala kuileta hapa.
----
Kwa mujibu wa takwimu za mwenendo wa matukio ya kigaidi ulimwenguni, vitendo hivi kwa kiasi kikubwa hutokea katika nchi zenye Waislamu wengi. Hii maana yake ni kwamba waathirika wakubwa wa...
Wakurungwa Kumekucha
Kimsingi Mimi Sidhani kama ilikuwa ni busara IGP Sirro kutangaza adharani nia ya kufatilia mafunzo yanayo endelea misikitini na manisani.
Let say kweli baadhi wanafundisha uovu kwa watoto, je wataendelea kufundisha wakati mumewastua!?
Polisi Mnafanya watu kubuni mbinu...
Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki.
Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro.
Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki?
Huyu mama Suzan Kaganda...
Tumsifu Yesu Kristu IGP Simon Sirro!
IGP Sikufundishi kazi lakini naona kama unalazimishwa kumkamata Askofu Gwajima! Kwa maneno ya Mh Spika jana pale Bungeni ni kama alikerekwa na kauli yako yakutaka barua toka Wizara ya Afya ikionyesha jinai iliyofanywa na Askofu Gwajima, Spika amekushangaa...
Dar es Salaam. Baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro kuwataka askari kutokumuamini mtu, baadhi ya wachambuzi na wanaharakati wamesema kauli hiyo inaleta chuki kati ya wananchi na polisi.
Akiwa katika viwanja vya Polisi Kurasini juzi, wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa kwa...
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida...
Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'.
Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya polisi hayana thamani yoyote zaidi ya maisha ya raia.
Lakini vipigo, uporaji, mauaji na dhukuma ndicho...
Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria.
Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi?
Hii ni kinyume na katiba ya...
1. Kujaribu kumkenehi waziri wa Afya ambaye anahimiza chanjo
2. Mbowe kushikwa
3. Mbatia na NCCR kuzuiwa kufanya mkutano bila sababu hata waziri anashangaa. Hii ni pamoja na Raisi kuagiza
Sirro inawezekana anatumika na lile group la wanaotaka Raisi Samia asifanikiwe.
Kama Raisi usijivutevute...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.