Wakuu salama,
Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...