Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii
Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
"Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne
=========
IGP...
Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha.
Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa.
Je, Mahakama itaridhia na...
Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.
Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA
Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
Hayupo ambaye hajavishuhudia vimbwanga vya askofu Gwajima kuhusiana na Corona na Chanjo zake.
Hadharani tuhuma za Gwajima kumhusu mheshimiwa Rais na wasaidizi wake zimesikika.
Haya yakiendelea ni kweli kuna Watanzania wasio na hatia wanaendelea kuwekwa hatarini kuhusiana na ugonjwa huu...
Narudia tena IGP anadharau sana, unasema utaangalia namna wayamalize kwa amani? Gwajima si alisema kuna viongozi wamehongwa? mambo ya kuhongwa yanaisha vipi hujui rushwa kesi yake inaishaje? kwanini usiruhusu Gwajima aje awataje hao waliohongwa ili wahashughulikiwe kwa mujibu wa sheria...
IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake.
Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni.
Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
Jeshi la Polisi ni moja kati ya law enforcement agencies hapa nchini. Wanajukumu kubwa la kuhakikisha wanakusanya ushahidi na kusaidia National prosecution office kutekeleza majukumu yao.
Kauli ya IGP Sirro kuwa Mbowe sio malaika ni kauli nzito. Maana huyu ni mkuu wa Polisi wanaohusika na...
Inasemekana kwamba aliyekuwa OCD wa Hai kipindi cha Uchaguzi ndiye amekuwa RPC wa Kinondoni na ndiye aliyemwambia Mbowe juzi walipomkamata kwa kumdhalilisha kwamba safari hii hachomoi watampiga na kesi ya Ugaidi.
Kama hili ni kweli kamanda Sirro unawezaje kutuaminisha kwamba Jeshi la Polisi...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza
Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo...
Ndugu IGP Sirro
Nimesikiliza mahojiano yako uliyofanya na mwanahabari mmoja hapa nchini ,katika mahojiano yako umeonyesha bila chembe ya shaka kuwa hauna interest ya kufuatilia, kuchunguza na hatimaye kuwafikisha katika mkono wa sheria wahalifu waliotenda tendo baya na la kinyama kabisa la...
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja...
Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao.
Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
"Askari mmoja analinda watu 2,000 jambo ambalo haliwezekani, kimataifa askari mmoja anapaswa kulinda watu 450, ili kutatua hilo ni vema tukawa na ulinzi shirikishi na asiyetaka kulinda alipishwe faini kama Dar es salaam wanavyo fanya"IGP Siro
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Siro Juni...