IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.
Kalamu ya Chacha Wangwe Jr,
Kila mtanzania mwenye uelewa wa mambo anayofuraha kubwa kutokana na uteuzi uliofanywa na Rais Samia katika kumteua CAMILIUS WAMBURA kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi.
UZOEFU KATIKA MAJUKUMU MAKUBWA
-Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:
1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
igp
julai
mpya
na wengine
pamoja
picha
rais
rais samia
rais samia suluhu
rais samia suluhu hassan
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
wengine
Awamu ya SITA imejikita kwenye kuliponya na kuliunganisha taifa dhidi ya Yale yasiyofaa ya awamu ya Tano.
Kuna waliomizwa na kuteswa sana na hata kupotea wengine. Jeshi la polisi Lina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao. Afande Sirro alikuwa mkuu wa chombo cha kulinda usalama wa raia...
Habari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali
Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa
-----
PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.
“Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
Naamini IGP Sirro anakaribia kustaafu utumishi wake kwenye jeshi la polisi uliodumu kwa zaidi ya miaka 30. Japo amefanya mengi lakini yapo ambayo bado ananyyoshewa kidole kwayo. Japo ni mengi lakini naomba niwasilishe swala hili moja tuu kwa leo. JESHI LA POLISI CHINI YA SIRRO limeshindwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo.
Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 6, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa...
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi. Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya...
Amang'ana, habari ja muhi, msinda vihi wana JF!
Nimtazamo wangu ya kwamba Sirro amefika mwisho wa cheo chake, hata mwezi june hafiki, anaebisha tukutane june mosi.
Maisha ni haya haya lichuguu limekwaa tobo
Leo imefanyika hafla ya kumuaga aliyekuwa RPC mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa na kumkaribisha RPC Mpya wa Pwani Pius Lutumo. Wankyo Nyigesa sasa ni RPC wa mkoa wa Kagera ambae amesema anajiandaa kuwa IGP na anaamini maombi yake Amiri Jeshi mkuu ameyasikia. Amedai alijiandaa kuwa DCI na kamishna...
Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu?
Mbowe ameelezea mambo kadhaa Machi 18, 2022, jinsi ambavyo Jeshi la Polisi...
Heshima sana wanajamvi,
Baada ya kesi ya Mbowe na wenzake kuondolewa / kufutwa na DPP mahakamani ni wakati muhafaka tukiangazia yaliyojiri kipindi chote cha kesi hii bila kuweka ushabiki na uzandiki.
Mosi,Kabla kesi haijaanza kusikilizwa IGP alitoa kauli nzito kwamba wanaushahidi mzito.Binafsi...