igp

IGP is an online retailer of personalised, floral, gourmet and handmade gifting products. The company is headquartered in Mumbai, India and has offices in India, Singapore and the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kama wasaidizi wa Kingai wamepandishwa vyeo, siku si nyingi mamlaka ya RAIS itampandisha cheo kuwa SACP/DCP/CP au IGP

    Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
  2. figganigga

    IGP Sirro, tunaomba Umhamishe Kamanda ACP Blasius Chatanda wa Simiyu, apangiwe kazi nyingine

    Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya kuboresha utendaji kazi wa Jeshi la Polisi na kwa nia njema tu. Mkoa wa Simiyu unahitaji mtu...
  3. comte

    Lema bhana kamchagulia RJMT, DCI, DPP, IGP filamu ya kuangali kumbe anawasema mh. Kibatala na wenzake kuwa hawana uwezo wa kumtetea Mbowe

    Godbless E.J. Lema @godbless_lema Mh Rais SSH,nakuomba sana kama unaweza tafuta muda wewe pamoja na familia yako mtazame hii movie. Pia DPP , DCI , IGP , DG TISS , CJ na Jaji Kiongozi ukitazama nao itakuwa vyema zaidi. Inaitwa ... " JUST MERCY "
  4. Idugunde

    IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  5. Suley2019

    Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
  6. Suley2019

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe: Jaji aahirisha kutoa uamuzi mpaka tarehe 17/11/2021 saa tatu asubuhi Ungana nami katika uzi...
  7. Chaliifrancisco

    Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni. Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
  8. Superbug

    Makosa ya IGP Sirro akiwa ofisini yaanze kukusanywa, Hana kinga kikatiba

    IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno. Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama. Siro ni doa ndani ya serikali.
  9. M

    IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  10. Shujaa Mwendazake

    Ni wakati sasa kwa IGP kustaafu kulinda heshima yake, Pumzi imekata

    Kwa matukio kadha wa kadha ya kesi za kubumba ambazo Mahakama imezituma, ambazo mama Samia amezikemea; Kwa ambacho kinaendelea sasa juu ya ushahidi wa makomandoo wa jeshi letu katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kwa mabacho kilitolewa na jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa MO...
  11. zipompa

    IGP sirro wawajibishe wakuu wa vituo vya polisi Katavi

    Wakuu salama, Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
  12. Fundi Madirisha

    IGP Simon Siro, ondoa ACP Ramadhani Kingai mrudishe HQ

    Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari...
  13. K

    IGP Sirro, bado unawahitaji Hawa watu au uhalifu wao umekoma?

    Je, IGP bado anamtafuta Kigogo2014 ? Je, IGP bado anamtafuta Mange Kimambi? Je IGP bado ana kesi na Manji? Tunaamini Polisi ya Tanzania inapambana na wahalifu au inapambana na watu wenye mtizamo tofauti na CCM na viongozi wake? Kama wanapambana na mitizamo hasi dhidi ya CCM ni lina tutapata...
  14. issenye

    Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  15. Prof Koboko

    IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  16. Analogia Malenga

    Askari waliopambana na Hamza wapewa zawadi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ametoa zawadi ikiwemo fedha na vyeti kwa maaskari polisi walioshiriki katika tukio la kupambana na Hamza aliyezua taharuki karibu na zilipo ofisi za ubalozi wa Ufaransa Dar es Salaam Agosti 25 mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 20...
  17. Mzalendo Uchwara

    IGP Sirro viatu vimekupwaya mno, omba kupumzika

    Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri? Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
  18. Nawatania

    Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  19. B

    IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

    10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP Simon Sirro wamefanya mapitio ya taarifa za kiintelejensia zilizokusanywa kuhusu makosa yanayovuka...
  20. Wakusoma 12

    IGP anawezaje kutumika kama muamuzi wa siasa nchini? Utawala wa kiraia umeporwa na wachache

    Jeshi la Polisi pamoja na majeshi mengine yote hayana uwezo wa kubadiri taratibu na sheria za nchi yetu. Kitendo cha Jeshi la Polisi kuingilia mikutano ya vyama vya upinzani ni kitendo hatari kinachoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Sheria zetu zipo wazi na zinaweka wazi majukumu ya Jeshi la...
Back
Top Bottom