Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi.
Kutokana kama kashfa nzito zinazolikabili jeshi la polisi hivi sasa, ni kweli linahitaji mtu aina ya Salum...