igunga

Igunga is one of the seven districts of the Tabora Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Shinyanga Region, to the east by the Singida Region, to the south by the Uyui District and to the west by the Nzega District. Its administrative seat is the town of Igunga. Igunga is now divided by two Constituencys: Igunga Constituency and Manonga Constituency, whereby Manonga town is Choma Chankola.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Igunga District was 325,547. [1].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Igunga District was 399,727.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8 Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
  2. Idugunde

    Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  3. BigTall

    Barabara ya Igunga (Tabora) hadi Rungwe (Mbeya) ni mbovu, inatupa mateso tunaoitegemea

    Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
  4. Idugunde

    Idugunde wa Igunga: ujumbe muhimu kwa wanaYanga toka kwa Halima Mdee.

    Mpira uko hivi
  5. Stephano Mgendanyi

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ahitimisha Ziara Jimbo la Igunga kwa Kishindo

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TABORA AHITIMISHA ZIARA JIMBO LA IGUNGA KWA KISHINDO Asisitiza ujenzi imara wa Chama Asema Mikakati ya kujenga vitega uchumi na Kukuza mapato ya Chama ni mfano wa kuigwa Atoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutoa Fedha nyingi za Miradi ya Maendeleo na kugusa...
  6. F

    Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  7. Stephano Mgendanyi

    Igunga: UWT Taifa Yaendelea Kuhamasisha Maendeleo ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA" Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya Ziara kwenye Kata Nne za Jimbo la Igunga (Itumba, Lugubu, Nguvumoja na Igunga) kwa ajili ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa; Wana Igunga kwasasa Taifa Letu Lina Umeme

    MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya Vitongoji huku atokia ufafanuzi wa masuala mbalimbali kwa Wananchi pamoja na; 1. Kutoa mrejesho wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Chatanda: Igunga Mmepata Mbunge Mchapakazi

    CHATANDA: "IGUNGA MMEPATA MBUNGE MCHAPA KAZI" Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda Amempongeza Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nidhamu yake ya uchapakazi na uwajibikaji kwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Jitihada za Kuboresha Huduma za Afya Jimbo la Igunga

    JITIHADA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIMBO LA IGUNGA "... Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) yenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa mahututi kumi kwa wakati mmoja, Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto yenye uwezo wa kuhudumia kina Mama na Watoto hamsini kwa wakati...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    Mbunge Nicholaus Ngassa Aeleza Jinsi Jimbo la Igunga Linanufaika na Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Akimpongeza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohammed Bashe baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa Afanya Ziara Hospitali ya Wilaya Igunga

    MBUNGE NGASSA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA WILAYA IGUNGA 1. Awaasa Wauguzi kuzingatia misingi ya taaluma (professionalism) na kanuni za maadili ya kazi kuhudumia wagonjwa. 2. Akemea lugha za mauzi na kebehi kwa wagonjwa. 3. Akagua ujenzi wa majengo mapya ya thamani ya Shilingi Milioni Mia Tisa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mchakato Ujenzi wa Kiwanda cha Kuchambua Mbegu za Pamba Igunga Waanza

    "MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA " Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kuchambua mbegu za Pamba umeanza na sasa hatua za awali zinaendelea...
  14. Stephano Mgendanyi

    Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  15. benzemah

    Aliyekuwa Mkurugenzi Igunga aendelea kusota Mahabusu Sakata la Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila na wenzake watano wakiendelea...
  16. JanguKamaJangu

    Watumishi 11 wa Manispaa ya Kigoma akiwemo Mkurugenzi wa Igunga wapandishwa kizimbani na kusomewa Mashtaka 11

    Jumla ya watu 11 wakiwemo watumishi saba wa manispaa ya Kigoma Ujiji na maafisa wawili wa Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wamefikishwa mahakamani katika mahakama ya hakimu mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka 11 ikiwemo shitaka la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha...
  17. JanguKamaJangu

    DED Halmashauri ya Igunga akamatwa, siku chache baada ya kudaiwa kuwepo kwa upigaji kwenye Halmashauri aliyotoka

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo. Mkurugenzi huyo alikamatwa Novemba 05, 2023 majira ya mchana wakati akiwa amerejea kutoka mkoani...
  18. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Manonga - Wilaya ya Igunga

    Seif Gulamali (Mb) Tunaishukuru Serikali ya Chama cha Mapinduzi inayoongozwa na Dr . Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kwa kutupatia fedha kutoka Serikali Kuu kutekeleza Miradi Mbalimbali Jimboni 1. Ujenzi wa vyumba 3 vya Madarasa Ziba secondari Milion...
  19. Stephano Mgendanyi

    UWT Taifa Wafanya Ziara ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Igunga

    IGUNGA: "UWT TAIFA WAFANYA ZIARA YA KISHINDO, WANANCHI WASEMA ILANI INATEKELEZWA KWA VITENDO" Habari Picha: Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Shomari (MNEC) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti kwenye Mikutano ya kuongea na Wanachama wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
Back
Top Bottom