igunga

Igunga is one of the seven districts of the Tabora Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Shinyanga Region, to the east by the Singida Region, to the south by the Uyui District and to the west by the Nzega District. Its administrative seat is the town of Igunga. Igunga is now divided by two Constituencys: Igunga Constituency and Manonga Constituency, whereby Manonga town is Choma Chankola.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Igunga District was 325,547. [1].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Igunga District was 399,727.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Afisa Utumishi Igunga avamiwa, ajeruhiwa kwa panga shingoni

    Watu wasiojulikana wamemvamia na kumjeruhi kwa panga shingoni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, Mussa Abdallah. Abdallah akiwa amejipumzisha nyumbani kwake Mtaa wa Mwayunge Kata ya Igunga mjini alipata mkasa huo baada ya kutoka kwenye kikao cha Baraza la Madiwani...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa: Mkandarasi zingatia ratiba ya utekelezaji wa mradi

    MBUNGE NICHOLAUS NGASSA: "MKANDARASI ZINGATIA RATIBA YA UTEKELEZAJI WA MRADI" - JIMBO LA IGUNGA Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, amemtaka Mkandarasi wa Mradi wa Usambazaji wa Maji ya Ziwa Victoria kwenye Vijiji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila...
  3. Stephano Mgendanyi

    Miradi ya Sekta ya Afya Iliyopata Fedha Jimbo la Igunga kwa Mwezi Februari, 2023

    MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023 1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/- 2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/- 3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/- 4. Zahanati ya Itunduru...
  4. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Maji ya ziwa Victoria yafika Mgongoro - Jimbo la Igunga

    MAJI YA ZIWA VICTORIA YAFIKA MGONGORO - JIMBO LA IGUNGA Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi ya Ziwa Victoria kwenye Kijiji cha Mgongoro, Jimbo la Igunga. Huduma ya Maji imefika kijiji cha Mgongoro kufuatia IGUWASA kulaza bomba la...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) iliyojengwa wilaya ya Igunga - jimbo la Igunga

    WODI YA WAGONJWA MAHUTUTI (ICU) ILIYOJENGWA WILAYA YA IGUNGA - JIMBO LA IGUNGA Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Hospitali ya Wilaya ya Igunga. Ujenzi umekamilika...
  8. Stephano Mgendanyi

    Vipaumbele vya fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo (CDCF) 2022/2023 - Igunga

    VIPAUMBELE VYA FEDHA ZA MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF) 2022/2023 - IGUNGA 1. Kukamilisha ujenzi ulioanza wa Ofisi za Kata, Ofisi za Serikali za Vijiji, Vyoo vya Walimu, Vyoo vya Wanafunzi na nyumba za Walimu. 2. Kutengeneza Madawati ya Shule za Msingi na Shule za Sekondari. 3...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  10. Mpekuzi Tanzania

    Heko Galaxy ya Igunga: Vyoo vyenu kwenye Kituo cha mafuta ni mfano wa kuigwa

    Nimepita Igunga nikielekea Muleba kwa ajili ya Mwaka Mpya na Familia yangu. Nimesimama kwenye Kituo cha mafuta kinaitwa Galaxy hapo Igunga, Kuna tatizo la vyoo nilikuwa naliona maeneo mengi ila jamaa wameweza. Vyoo visafi husikii harufu ya mikojo wala kinyesi. Maji vyooni ya kutosha na sabuni za...
  11. Mpekuzi Tanzania

    SHAKA: Igunga ni shamba darasa kwa miradi ya maendeleo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa usimamizi mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo na kuiita ni "Shamba Darasa la Miradi ya Maendeleo". Ndg. Shaka (MNEC) ameyasema hayo akiwa kwenye Kituo cha Afya...
  12. Mpekuzi Tanzania

    Shaka apokelewa Igunga kwa nderemo na vifijo

    SHAKA APOKELEWA IGUNGA KWA NDELEMO NA VIFIJO. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Gilbert Kalima (MNEC) wameanza ziara ya kikazi Wilaya ya Igunga kwa ajili ya...
  13. Suley2019

    Igunga: Karatasi zinapotumika mbadala wa maji chooni

    Ni bomu kubwa linalotengenezwa linasubiri kulipuka na siku likilipuka litaacha madhara makubwa. Hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa kwa kinachoendelea katika shule ya msingi Mwanzugi iliyopo wilayani hapa mkoani Tabora. Shule hii iliyo umbali wa kilomita 10 kutoka makao makuu ya halmashauri ya...
  14. John Haramba

    Mwanamke auawa Tabora, mwili wake watupwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Kamando Kata ya Igunga Mjini, Wilaya ya Igunga, Veronica Jackson Juma (26) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi. Mwili huo umekutwa umefungwa kamba kwenye mikono na mdomo kuzibwa na kipande cha nguo. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa...
  15. Mpekuzi Tanzania

    Mbunge wa Igunga na falsafa ya kazi na maendeleo

    IGUNGA: KAZI NA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa, ameungana na Wananchi na Mafundi kushiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule za Sekondari. Serikali imelipatia Jimbo la Igunga Shilingi Milioni Mia Nane na Themanini (Tshs 880,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa...
  16. J

    Mwalimu Mkuu shule ya msingi Maweni wilayani Igunga anakaa kwenye nyumba ya "mbavu za mbwa" (miti na udongo)

    Mwalimu mkuu shule ya msingi Maweni huko Igunga ambaye ni mwanamke anaishi kwenye nyumba ya udongo na miti kwa miaka kumi sasa. Mwalimu huyo amesema nyumba hiyo inavuja kila mahali hivyo wakati wa masika anakuwa kama analala chini ya mti. Source: ITV habari za saa My take: Mwigullu Nchemba...
  17. B

    Elections 2010 Chimbuko la Dowans/Richmond na uchaguzi wa Igunga

    Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili lilazimike kulipa mabilioni haya, Tarehe 2 October iwe siku ya kuwapa Chadema ushindi ili kuowaongezea nguvu...
Back
Top Bottom