GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani?
Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo.
Kwa mechi ya leo, ukiacha...
Nianze kwa kutoa pole kwa wanayanga wenzengu, tuyapokee matokeo ndivyo mpira wa miguu ulivyo.
Mechi ya leo ya Ihefu vs Yanga inaingia kwenye list ya mechi zilizoniumiza kwenye mpira wa miguu, kipindi cha pili kilikua kichungu mno kwangu. Nilikua nimezungukwa na makolo sio pungufu ya 8, ilikua...
Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao.
Jana Jumanne Makomandoo wa Ihefu FC waliokuwa Wakiulinda Uwanja walionyeshwa Fedha ili Wawaruhusu Waganga na Wachawi Wao (...
Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
Ngoja niwasimulie kidogo hii story ya kusikitisha na kughafirisha.
Mwaka Jana kipindi yanga ni unbeaten sikuwahi kuwabetia Ila ilivyofika siku wanacheza na ihefu nikajisemea hii yanga unbeaten ndy yakupatia hela Hapa bure bure dadeek nikawapa yanga nikastake elf 50 alafu nikachil bar Sina hata...
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Habari kubwa leo, nani wa kumzuia Jean Baleke ambaye amekuwa hazuiliki sasa, kwa taarifa yako Baleke kwasasa anafunga kila...
Ihefu maarufu kama Mbogo Maji wamekula za uso 5 kwa 1 jana usiku ktk mchezo wa robo fainal ya kombe la azam, hata hivyo Mbogo Maji imetamba kulipiza kisasi katk mchezo wa marudiano wa ligi ya NBC uliopangwa kupigwa cku ya j3, yaan keshokutwa.
Mbogo Maji wamepost kwenye ukurasa wao wa insta kwa...
Manara katika mengine sikubaliani nae ila hili la kusema kuwa huko aliko sasa wenye Akili timamu ni Wawili tu Babaake na Mstaafu wa Msoga na waliobakia Wote ni Majuha ( Fools ) nakubaliana nae 100%.
Kwahiyo na nyie leo mkiifunga Goli nyingi Geita Gold FC tena ukizingatia Kocha wao Minziro na...
Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile.
Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kukabilia na Ihefu katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc...
Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kulipa kisasi cha kuvunjiwa rekodi yao ya unbeaten na...
Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameagiza kushughulikiwa kwa watu zikiwamo familia 12 za viongozi waliovamia na kuchepusha maji Bonde la Ihefu.
Amekemea uchepushaji huo kwani umesababisha kutotiririka kwa Mto Ruaha Mkuu kwa zaidi ya siku 130 sasa hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai na...
Salaam wanajamvi,
Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais.
Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
Suala eneo la Ihefu, chanzo cha mto mkuu wa Ruaha, limekuwa likilalamikiwa kwa miaka sasa.
Najua serikali imekuwa ikilishughulikia hili tatizo la kuingiliwa Ihefu kwa nyakati tofauti, lakini ni kama imekuwa funika kombe wanaharamu wapite.
Nashindwa kuelewa, inakuwaje mtu, watu wanachepusha mto...
Wandugu,
Hii team kwa kweli inatia huruma sana. Kwa sasa sio Simba ile ya kushtua, Simba amekuwa MBUZI. Hata ushindi wenyewe wanapata kwa kuokoteza, team haina morali, pesa, udhamini mbovu, uchawi sasa wnatoboaje kwa mfano?
Yule CEO ndiye chanzo cha yote haya lakini kaamua mwakani akimbie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.