ihefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kufungwa na Ihefu, Yanga imeonesha ukubwa wake

    Timu kubwa Duniani huwa zinapoteza mechi kwa kufungwa na timu ndogo na dhaifu kwenye mashindano. Yanga imefunga au kutoka sare na timu zote imara kwenye ligi na kupoteza mechi kwa timu iliyoko mkiani mwa ligi. Hii imetokea kwa timu kubwa kama Ujerumani na Argentina kufungwa na timu ndogo kwenye...
  2. Picha mbalimbali za Ihefu dhidi ya Yanga, zipe maneno

  3. Baada ya Ihefu FC 'Kutubikiri' jana sasa tumebadilika na Kujifariji kwa Kuifurahia 'Unbeaten Record' ya Mechi 49

    Kwa Mashabiki wenu Oya Oya (Akili Kupotea) hapa najua Watawaungeni mkono ila kwa Sisi Wanamichezo wa kweli tunajua kuwa mmeumia mno na Kubikiriwa na Walima Mpunga huko Mbarali Mkoani Mbeya jana. Sasa kama baada ya Kichapo Bikiriwa chenu cha Jana Lengo lenu lilikuwa ni Kufurahia Unbeaten Record...
  4. Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  5. Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  6. Je, aliyefungwa na Mwamba Azam FC na aliyefungwa na Mchovu Ihefu FC nani ni wa Kudharaulika na Kuchekwa?

    Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
  7. Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  8. Mechi ya Simba dhidi ya Ihefu ichezwe uwanja wa Mbeya mjini, Kusafiri takribani masaa mawili na nusu kwenda uwanja wa Ihefu ni kuchoshana tu.

    Timu inatoka Dar kweda Mbeya kwa ndege safari ya takribani saa mawili, timu inafika mjini na kupumzika kwenye hoteli za mjini, mazoezi yanafanyika uwanja wa Sokoine wa hapo hapo mjini unaotumika kwa mechi za mbeya city na prisons. Timu inabidi ianze safari ya masaa mawili na nusu kwa basi siku...
  9. Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  10. Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

    Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
  11. FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko? Tuungane pamoja katika huu uzi... Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC Kikosi cha wageni, Yanga. UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI "Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
  12. Kwa Ihefu FC hii iliyo 'Ndembe Ndembe' huenda Leo Mayele aliye kwenye 'Fomu' yake akaondoka na Mipira Mitatu

    Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa (9) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna (tukawa na...
  13. A

    Kwa Simba hii ya Gadiola Mnene, muda si mrefu haitakuwa tofauti na Coastal Union au Ihefu

    Mhamasishaji Gadiola Mnene atupiwe virago fasta au apelekwe Simba C kabla mambo hayajaharibika. Timu inacheza ki- Ihefu Ihefuna bado anaachwa tu.
  14. Wavamizi Bonde la Songwe na Ihefu kuondolewa, watakaofuatwa kulipwa fidia

    Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amesema wanachukua hatua hiyo ili kulinda Mazingira na Kunusuru vyanzo vya Maji. Amesema wale ambao watafuatwa kwenye maeneo yao, Serikali itawafidia lakini hawatakuwa tayari kuona ukame ukiendelea katika Mabonde hayo...
  15. S

    Mechi ya Simba na De Agosto haina mvuto kabisa, bora hata wanapocheza na Ihefu

    Hii ni mechi ya kimataifa ila kiuhalisia utadhani hii mechi haipo kwani mvuto ni zero kabisa. Yaani ni afadhali wanapocheza na IHEFU. Hata hivyo, tuendelee kujadili mechi ya wanaume ya Jumapili hii huko Sudan tuachane na hii ya wachumba/warembo itayochezwa kwa Mkapa.
  16. M

    De Agosto ni kama Ihefu iliyo changamka, kikosi chao ni majanga

    Hawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani. Wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa Simba...
  17. D

    Kwani Ihefu shida ni wachezaji au kocha?

    Je ujio wa Juma Mwambusi katika klabu ya Ihefu utabadili chochote?
  18. Mifugo 200,000 kuondolewa Bonde la Ihefu ndani ya siku 10

    Kamatiya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wameanzisha oparesheni maalumu ya kuondoa zaidi ya mifugo 200,000 iliyovamia eneo la ardhi oevu ya Bonde la Ihefu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali. Mifugo hiyo iliyoingizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…