Hii timu kila mwaka ina watoto lakini kila mwaka ina combination hatari kwenye Laliga inasumbua.
Hawasajili hata mchezaji mmoja wa pound 100 million Kama zilivyo timu nyingi mbovu
Lakini wanasumbua na watoto wao wanafanyaje kuliko man u, Madrid, mancity na wengine
Sioni timu ya kucheza nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.