imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

    Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga) Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga) Leo kwa aibu wanang'ang'ania...
  2. M

    Waislam msiwaite wenzenu makafiri,sio jina zuri

    Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini. Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani. Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
  3. Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  4. kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
  5. M

    Mwendo umeumaliza, imani umeilinda

    Huu ni msemo maarufu pale wapendwa wetu hasa ktk wanasiasa wanapotangulia mbele ya haki. Marafiki huja na neno la faraja la "Mwendo Umeumaliza, Iman Imeilinda" Kauli hii Kwangu inamaanisha kuwa wanasiasa hasa wa imani ya ukristo wanapopigania siasa ajenda yao ya moyoni ni kupigania kwanza...
  6. Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

    Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu...
  7. Jifunze kutofautisha Mpagani na Mtu asiye na Imani: Ewe Mkristo, Ewe Muislamu hawa Watu tunaishi nao, wengine wana sifa za utakatifu zaidi yetu

    Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili kuvuta usikivu wako, lakini lengo la makala hii ni kufafanua tofauti kati ya makundi haya mawili na...
  8. K

    Kwa wenye imani na numeorogy: Namba 17 ni Lissu

    Kabla ya chaguzi utaweza kuangalia maandiko yangu. Niliota Mbowe kavaa jezi namba 17. Maana yake ni kwamba Mbowe anaungwa mkono au ni shabiki wa namba 17. Sasa kwenye maono ya kiimani kumbe Lissu ndiye ambaye Mungu amekirimu katika namba 17 yaani 2017. Huu ndiyo mwaka ambao Mungu alimponya...
  9. Utegemezi na Umasikini kwa nchi za Africa, Je tatizo lilianzia kwenye mapokeo ya dini na Imani?

    Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha. Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao. Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho chao. Wahindi majority wanaunganishwa na imani zao. Je ni ipi identity ya Muafrica? Ni ipi imani...
  10. K

    Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa. Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli. Pia soma - Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
  11. Hawakuweza kupata mtoto lakini kwa imani ya Mungu kupitia msaada wa mchungaji, baraka zilikuja.

  12. Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  13. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  14. "Kutoka kwa Mwito hadi Uteuzi: Safari ya Padre Katika Imani na Huduma"

    👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho, masomo ya teolojia, na mafunzo ya uongozi. Padre si tu kiongozi wa ibada, bali pia mwelekeo wa roho...
  15. S

    NI Imani potofu kuhubiri kuwa kanisa limekufa Yesu hakuhubiri kuwa Lazaro kafa.akizunguka nchi nzima alimfumfua

    Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
  16. Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
  17. Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  18. G

    Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  19. Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…