imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakatoliki mnaokimbilia kwa haya makanisa ya kinabii, njooni hapa turudishane njia kuu

    Ndugu zangu, majirani zangu, wana parokia wenzangu, na wanajumuiya wenzangu, ni wazi kuwa tunapitia changamoto nyingi zinazoweza kutufanya tuishi kwa kutetereka kiimani. Vishawishi vya dunia ya sasa vinatufanya kupoteza dira, huku tukishawishiwa kuamini kwamba suluhisho la changamoto zetu lipo...
  2. Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

    Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia. Ndugu zangu. A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
  3. Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

    Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo kiongozi mkuu. Mara nyingi rasilimali zote za dhehebu hilo ikiwa pamoja na dhehebu lenyewe ni mali...
  4. LGE2024 Mary Chatanda: CCM ina Imani kubwa na Wanawake kwa Maendeleo ya Taifa

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
  5. LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa, hongereni viongozi wa Dini kwa kusimama katika Imani

    Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
  6. LGE2024 Mbeya: Freeman Mbowe atangaza Nguzo na Imani nne za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Mbowe amesema chadema inasimamia Haki, Uhuru, maendeleo ya watu na Demokrasia
  7. Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
  8. Imani yangu juu ya uchawi inanipa mashaka

    Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hii Mwaka 2014 kuna brother fulani ambaye tulikuwa tunaishi naye village moja...
  9. LGE2024 CPA Makalla: Uimara wa Chama cha Siasa ni Nguzo Imara kwa Wananchi, Umoja Unajenga Imani

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo. Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
  10. T

    Wasanii wetu na mtihani wa Imani!

    Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala. Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo! Nashawishika kuamini hii inatoka na kazi yao kutaka kuwaridhisha mashabiki wao ambao wapo pande zote za Imani...
  11. LGE2024 Tuna mtaji wa imani ya Watanzania: Dkt. Nchimbi

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  12. LGE2024 Emmanuel Nchimbi: Tuna Mtaji wa Imani ya Watanzania

    TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha kampeni za nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu, isiachwe kura hata moja, wakiwemo wapinzani Awataka...
  13. P

    Unakabiliana vipi na waumini wanaolazimisha salamu za kiimani bila kujuwa imani ya mtu mwingine

    Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake. Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero. Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
  14. Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

    Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
  15. Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga

    Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga Naomba kuwasilisha bila kuongeza kitu chochote. Nawasilisha.
  16. Niwe na Imani ipi juu ya Hili tatizo??

    Ndugu wa JF, Nawasalimu wote. Bila kupoteza wakati nianze kwa kutoa maelezo mafupi ya kile kinachomsibu ndugu yangu wa karibu sana jambo ambalo linaniathiri na mimi pia. Nina huyo mamdogo wangu ambaye ni kama mama yangu kutokana na namna nzuri alivyonisaidia kunisapoti kimasomo wakati niko...
  17. Omba huku ukichukua hatua ya kuwa vile uombavyo uwe imani pekee haitoshi

    Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata vile wavitakavyo vilipo au kuvivutia Mara nyingi vitu vizuri zaidi vina ushindani na wakati mwingine...
  18. M

    Nina imani kubwa sana kuwa PROGRAMMING itakuja kunilipa ndo mana nimetumia Nguvu kubwa sana

    Kama kawaida hope mko poa Mimi napenda sana programming na nina baadhi ya projects nimesha zi develop Za desktop, mobile, na web based systems. Nimesoma chuo ila nilikua based on networking zaidi ila badae nikabased na Programming. Natamani niweke github yangu hapa ila sitaki...
  19. Wapiga kura wengi zaidi Tanzania wana imani kubwa mno na wagombea uongozi wa CCM pekee

    Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
  20. D

    Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…