imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Siasa inaweza kuwa na Neutral Ground lakini Imani haina Neutral Ground, Ni either uko upande wa Mungu au uko upande wa Shetani.

    Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta, Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo, 1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na...
  2. Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate. Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
  3. Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
  4. Maswali magumu kwenye imani na sayansi

    Nimekua na maswali yasiyo na majibu. Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani. Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo. swali langu 1. Kwenye sayansi Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na...
  5. Baraza la Madaktari lawajibu Madaktari Watarajali waliodai hawana imani na MCT

    Kupitia mitandao ya kijamii kumeibuka mjadala unaosema kuwa 'Baraza la Madaktari Tanganyika lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali kuendelea na mitihani yao huku ikiwa Waziri Ummy ameunda Kamati ya kuchunguza malalamiko ya Watarajali hao'. Mnamo Agosti 13, 2023...
  6. Kagame: Nitagombea Urais tena mwaka 2024, Wananchi bado wana imani kwangu

    Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye. Kagame aliulizwa anachukuliaje uamuzi wake kwa kulinganisha na Mapinduzi yanayoendelea katika Nchi za Afrika Magharibi, ambapo...
  7. Misingi ya Imani ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)

    Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia. Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
  8. Nakosa Imani na nguvu ya kuomba Ajira za TAMISEMI

    Kila ninaposikia kuhusu suala la kutangazwa kwa ajira za TAMISEMI hususani katika kada yangu ya ualimu napata furaha, lakini mchakato unapoanza hadi kukamilika na matokeo yanapotolewa najikuta mtu mwenye huzuni kubwa sana kwa kukosa hiyo nafasi nimeomba ajira zaidi ya mara 4 tena kwa shauku...
  9. Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  10. Maoni Binafsi: Sina imani na Mzee Kinana

    Tukija kwenye mada, si mara moja wala mara 2 nikiwa na watu wa kuaminika na wenye heshima kubwa wanao simamia mali asili zetuhususa ni hifadhi, wakanijuza kuwa tunahujumiwa. Ndiyo, tunahujumiwa. Ikumbukwe kuwa mali asili zilizopo hapa nchini ni kwa manufaa ya umma, hatukatai wananchi wakiwamo...
  11. Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  12. Wito wa Religious Tolerance: Usikosoe jambo lolote ambalo si imani yako!

    Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini. Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
  13. Kuuawa kwa Prigozhin na Imani ya Afrika kwa Putin na Washiriki Wake

    (1) Prigozhin alikuwa rafiki mkubwa wa Putin tokea utotoni mwao huko St Petersberg na kuna wakati Putin alikuwa anatayarishiwa chakula na mgahawa wa Prigozhin tu; na mara zote Prigozhin mwenyewe ndiye aliyekuwa aneanda kutoa huduma hiyo ya chakula kwa Putin. (2) Mwanzoni mwa mwaka 2022, shirika...
  14. Yanga na Simba ni imani ambazo zina nguvu kuliko imani za Kidini

    Kwa sasa Tanzania ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga unazidi kustawi. Makundi yanayokuja kwa Kasi ni wanawake na watoto wadogo tofauti na miaka ya nyuma. Imekuwa Imani kamili tunarithishana kizazi hadi kizazi na mtu akishaamini kamwe hatohama mpaka kifo kimtenganishe. Mtu atachelewa au...
  15. Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari. Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo...
  16. Kamwe Kanisa Katoliki haliwezi badilisha msimamo kwa unafiki wa Imani kwa yeyote yule iwe jana, leo na hata milele

    Hello JF Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale...
  17. Watu kuoga hadharani ni utamaduni au imani ya kishirikina?

    Sijui kama na mikoa mingine ina watu wa wenye ujasiri huo!. Nimeshaona hayo zaidi ya mara moja Kanda ya Ziwa. Wakati fulani, nilikuwa nikienda sehemu fulani jijini Mwanza kwa gari la taasisi fulani. Hilo gari lilikuwa na watu wazima pamoja na wanafunzi wa shule fulani ya huko huko jijini...
  18. Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia ya kweli ya kuwasaidia Wananchi wake kwa kuwa ukifuatilia hoja za Wanataaluma hao wa Udaktari zina...
  19. M

    Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  20. L

    Filamu ya katuni ya Kichina “Chang An” yajizolea umaarufu mkubwa wakati Wachina wakiendelea kuwa na imani na tamadauni zao

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…