Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa sana katika mambo yake, elimu, sanaa, technolojia, jeshi, huduma za kijamii kama afya mpaka dhambi...