imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bueno

    Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  2. K

    Hii imekaaje?

    Habari wanaJF Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu. Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za...
  3. Father of All

    Hii imekaaje ya mke kumua mumewe kwa kipigo baada ya kuwa chaulevi?

    https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs Siongezi neno. Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha. Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu. Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
  4. Atukuzwee

    Hii imekaaje nina upepo na nyota ila maisha yangu ni maseke?

    Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana. 1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa. 2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
  5. BAK

    Must see Movies

    - Seven Pounds Official Movie Trailer HD
  6. M

    Mimi mtu akinifanyia ubaya lazima apate matatizo makubwa ikiwemo kifo na magonjwa je hii imekaaje ?

    Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba. Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu. Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo. Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
  7. B

    Samia infrastructure bond 12% imekaaje?

    Naomba kuelewa wadau 👉.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote 👉.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea? 👉.Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi? Naomba kupata elimu juu ya hiki kitu tafadhali?
  8. Expensive life

    Wakuu hii imekaaje darasa la kwanza masomo nane?

    Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote. Math English Kiswahili Drawing Reading Sport &art Heath...
  9. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  10. K

    Hii imekaaje ni mtazamo au?

    Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona. Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost kama wakifa watu popular? Mtazamo tu
  11. C

    Hii imekaaje kwa namba za usajili wa magari?

    Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
  12. SALOK

    Hii logo ya CAF huwa wana download mtandaoni na kuweka kwenye jezi au kuna taratibu wanazifata kupatiwa?

    Kwamba wakiwa kwenye mchakato hiyo logo wanadownload mtandaoni tu, ama protocal zinakuwaje?
  13. Manyanza

    Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
  14. Hamumu

    Nimeiba ama ndo zali la mentali

    Siku iko aje.... Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo). Kwa vile nliishiwa cash nikaona...
  15. hmaloh

    Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
  16. maigajr

    *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  17. Faana

    Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

    Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence. Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...
  18. M

    Updates Ajira za Ualimu (Hii imekaaje Wadau??)

  19. B

    Wanandoa hii imekaaje?

    Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
  20. B

    Biashara ya vifaa vya music kama subwoofeers kubwa na ndogo kwa Dar es Salaam imekaaje?

    Naulizia mwenyeji ujuzi wa biashara ya subwoofeer kubwa na ndogo imekaaje kimzunguko wa fedha kwa DSM
Back
Top Bottom