Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia.
Akaambiwa ujauzito umetoka japo akipima kipimo cha mkojo kinaonyesha ana mimba ila ultrasound inasema mimba...
Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri.
Swali fikirishi mantiki ya kushikiza hivyo,inatokana na nini?
"kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?"
Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu.
Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
Me naumia kuona watu waliosoma katika mazingira ya shida, ada za shida pia kwa sababu ya mazingira kutokuwa rafiki wanaishia kupata alama za kwenda diploma..mfano diploma ya ualimu.
Then anamaliza badala ya kupata ajira direct anapo apply anakwama kwa sababu mbali mbali...kwanza kupata ajira...
Uhali gani kwa muda huu unaosoma post hii.
Nafurahi kushare nawe njozii hii ya utata kidogo
Nisiku kadhaa zilizo pita toka nilipoota njozi nisiyoielewa kwamba mimi ni marehemu
Maana yake nini au inausina na nini Tafadhali kama unafaamu naomba unijulishe
Wakuu Mimi umri wangu ni miaka 44 mpaka nafikia umri huu sijabahatika kupata mtoto wa ndoa zaidi ya kubambikiwa watoto wa nje ya ndoa, Mimi ni mjasiriamali japo pia ni mtumishi serikali katika idara ya afya, nilichelewa kuowa kutokana Na ugumu wa maisha niliokuwa nao.
Mwaka jana mwezi wa...
Kuna jamaa nilikua namuuliza vyumba ili nipate sehemu ya kupanga sasa kanionesha sehem lakini saiv tupo hapa anasema tumalizane yani posho yake.
Nimebaki nimeduaa mbona anataka nyingi afu cha ajabu nauli nimemlipia mimi ya kuja uku. Dah.
Hivi dhamana si haki ya kikatiba?
Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ?
Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo?
Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na tunataka tujuzwe juu ya hili.
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.
Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
Wanajukwaa salaam!
Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini.
Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
Habarini!
Kama tujuavyo, Rais Samia yumo nchini Korea ya Kusini akiendelea na ziara take ya kikazi. Suala moja nimeshindwa kuling’amua kiasi cha kuhitaji msaada wa ufafanuzi na kueleweshwa kuhusu protokali ya bendera ya nchi pindi Rais wetu awapo ziarani katika nchi nyingine.
Nimekuwa nikiona...
Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD.
Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana.
Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine mimi sielewi.
Kuna mademu hawana stim jamani ni bure kabisa.
Nimemsikiliza Charles Hilary Msemaji wa serikali ya Zanzibar akisema kuwa Serikali hiyo inamiliki Ardhi huko Makurunge Bagamoyo.
Hii kisheria imekaaje watanganyika wenzangu.
Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.