Mtu unaishi kw yale manzari ya extended families na ndugu, cousins and watoto and you work; unasepa asubuhi unarudi jioni muda wote huli home. Unajiletea chipsi kuku unajichana chumban na whatever privacy you get while watching movies. Unakuja kuitwa mchoyo as if watoto wote wameshinda na njaa...
Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana.
Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu.
Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia...
Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?
Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza...
Salaam kwenu wote,
Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953.
Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi...
Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi,
Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara.
Na mimi mara nyingi huwa napoenda kwenye shughuli zangu, ni lazima nipitie hapo kwenye mgahawa wao...
Hellow african
Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe...
Habari JF,
Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe.
Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki
Je, ile fidia nayo inakufa?
Wasalaaaaam....
Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!!
Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika...
Mwaka 2018 mwanzoni, aliajiriwa kwenye kampuni niliyokuwa nafanya kazi mimi. Na alifanya kazi chini yangu. Yaani mimi ndiye nilikuwa msimamizi wake wa kazi.
Huyu dada alinivutia tuu ile siku ya kwanza ametambulishwa kwangu kwa jinsi alivyokuwa mzuri na mtulivu. Siku hiyo nilimpa ABCs za...
Nimeona kuna shule huko Mtwara mwanafunzi ameripoti na mtoto wake mchanga shuleni baada ya kujifungua, nawaza:
1. Muda wa masomo mambo yanakuwaje? Kuna mtu anakaa na mtoto nje na binti anaendelea kusoma?
2. Binti anapata nafasi ya kutoka toka nje/ au humo humo darasani kumnyonyesha kichanga...
Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k
Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje
wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake.
Mfano:
Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana.
Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena.
Weeeh! Akawaka akadai yeye hajui hilo saivi yupo kama ananikomoa dah! Anaandika message za mapenzi, kero za hapa na pale...
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
Wasalaaaam wazee wa kazi....
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati...
Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi.
Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.