imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mia saba

    Hii imekaaje kisaikolojia ya mahusiano

    Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja. Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama...
  2. Amran Mpogole

    Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati. Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi mrefu kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa kwa kujiona tayari...
  3. M

    Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
  4. Vhagar

    Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

    Hello JF Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza. Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
  5. Jidu La Mabambasi

    TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  6. M

    Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
  7. Pascal Mayalla

    Mke Kuomba Ruhusa kwa Mume, ili Kusafiri Hata Safari za Kikazi!, Imekaaje?. Mama Salma Kikwete Huwa Anaomba Ruhusa!. Je Boss Ladies Wanaomba Ruhusa?.

    Wanabodi, Sorry, this is a duplicate Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa? Paskali.
  8. Pascal Mayalla

    Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?

    Wanabodi, Kwa mila na desturi za kiasili za Kiafrika, Traditional African tradition, kwenye ngazi ya familia, mume ndie mkuu wa familia, ndie anayechagua mchumba, ndiye anaya posa, adie anayelipa mahari, kununulia bidhaa ya mke!, ndie anaye oa, na kukabidhiwa bidhaa yake na kumhesabu mkewe ni...
  9. Lanlady

    Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  10. spyboss

    Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
  11. cold water

    Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?

    Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu. Nina miaka ishirini na kitu, nina...
  12. Nyankurungu2020

    Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

  13. Accumen Mo

    Msaada: Wafanyakazi wenzio kukushinikiza uoe ni ishara ya nini?

    Za mda huu watu wa nguvu? Poleni na kazi !! Iko ivi Kuna ishu hapa Ina utata Kuna dogo nilikutana nae maeneo fulani hapa dar kwa vile niliishia nae mkoa fulani huko nyuma alikuwa mdogo kwangu nikawa namkubali maana shule alikuwa safi sana, nilikutana nae kama mwezi wa 7 ivi hapa jijini basi...
  14. APPROXIMATELY

    Hii biashara ya makorokoro imekaaje wadau?

    Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
  15. The Burning Spear

    Kiuchumi hii imekaaje?

    Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo. Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy ndiyo maana biashara nyingi hufa. Inampa favour mwenye pango Ila wewe mpangaji unakuwa umekopesha...
  16. sky soldier

    Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  18. Mpinzire

    Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  19. Melancholic

    Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

    Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi, Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka nikaona sasa hii itakuwa dharau na ukizingatia ni limaza flani lina mzigo wa haja nikaona ngoja nilitupie...
  20. Balqior

    Western Union kukataa transaction yangu kisa herufi moja tu, hivi imekaaje kwa wenye uzoefu?

    Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
Back
Top Bottom