Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili?
Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo?
China’s political party...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili;
1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva.
2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe.
Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna...
Nawatakia sikukuu njema Jf
Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke.
Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho...
Bila jazba Wala povu, nauliza?
Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri!
Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama?
Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje?
Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo?
Tatizo ni Nini!
Ni...
Wakuu naangalia mazishi ya mzee Kibaki kule Othaya.
.
Kuna jambo sijaelewa kwenye protocol naona ameanza kuingia Ruto then Raila Odinga then Rais Uhuru Kenyatta.
.
Hii imekaaje kwa nyie wabobezi wa Protocol?
Watanzania tuwe makini ...
Uhuru wa maoni ni moja kati ya ajenda ambayo Chadema wanasema wanaipigania kupitia katika katiba mpya, Leo mchungaji msigwa katoa maoni yake kuisifia royal tour na mama Samia, Chadema wanamshambulia, hivi hawa hiyo katiba mpya wanayoitaka wanajua maana yake?
Hawa...
Tenda ya kuzalisha vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni za mwaka 2020 ilikuwa ni kubwa, hivyo ikatulazimu kukopa ili tuweze kutimiza lengo la mahitaji tukitaraji kuwa baada ya mwezi fedha ingerudi, lakini hadi sasa hakuna tulicholipwa" Salum Mussa
Kwa kuwa Uhuru Media Group ni kampuni ya CCM...
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!
HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa.
'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho
Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi.
Kilichonishtua
Mwanamama mmoja jasiri...
Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .
Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu.
Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani?
Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
Serikali ifanye uamuzi mgumu, hii ni biashara ya hasara, nadhani ATCL wajikumbushe sababu zilizofanya ATC ikafilisika, abiria sita ni sawa na milioni mbili laki nne kwa nauli ya laki nne, Dar-Chato direct flight, maana yake kama ni dreamliner siti nyingi hazikaliwi,inaenda tupu kwa asilimia 98...
Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na hivyo na hivyo kuwa tishio kwa chama tawala.
Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba ilianza nccr mageuzi...
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa.
Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!.
Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.