Habari wanaJF
Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu.
Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za...
https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs
Siongezi neno.
Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha.
Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu.
Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
Kwema wakuu kuna jambo linanishangazaga sana.
1.Mama mmoja muuza chapati alikua ananiomba niwe wa kwanza kwenda kununua chapati kwake asubuhi alikua jirani yetu na nikinunua alikua anafurahi sana nikawa nachukulia poa.
2.Mama ntilie na muuza sambusa alikua pia ananiomba niwe nanunua sambusa...
Wakuu Mimi sio mtu wa dini Sana wala ndumba.
Mimi huwa naabudu mizimu na Mungu.
Ila kitu ambacho huwa sikielewi Mimi mtu akinitapeli , kuniibia basi lazima apate matatizo ikiwemo kifo.
Hivyo watu wamekuwa wakiniogopa Sana.
Naomba kuelewa wadau
π.12% ni kiasi gani uwekezaji huo unaanzia kwa mwananchi yoyote
π.je Baada ya Samia kutoka madarakani huu mfuko wa uwekezaji utaendelea?
π.Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi?
Naomba kupata elimu juu ya hiki kitu tafadhali?
Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane.
Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka mitano tu aiseeh atameza haya masomo yote.
Math
English
Kiswahili
Drawing
Reading
Sport &art
Heath...
Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision".
Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
Unakuta MTU Fulani Mashuhuri amefariki watu wanahangaika kupost Huko WhatsApp as if marehemu anaona.
Taarifa ni Worldwide recognized na wewe una post eti RIP kwani mbona ndugu zenu wakifa hampost kama wakifa watu popular?
Mtazamo tu
Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo.
Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu.
Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
Siku iko aje....
Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe mwili nafasi ya kujiandaa na majukumu ya kesho (ambayo ni leo).
Kwa vile nliishiwa cash nikaona...
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi,
Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake.
Walikuwa...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini
Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence.
Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...