imepanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazo anza kutumika Tarehe 6 Julai 2022 saa 6:01 usiku. Aidha, Katika kukabiliana na ongezeko la bei za mafuta hapa nchini, Serikali imetoa ruzuku nyingine ya Shilingi...
  2. luangalila

    Bei ya ku-print na photocopy zimepanda maradufu

    Sasa hivi bei ya ku print na photocopy zimepanda maradufu, wataalam wa stationery wanasema sababu kuu ni kupanda kwa bei ya rim paper za size ya A4, wanasema bei ya sasa ni almost 90 elfu Tsh, ambapo zamani ilikuwa ina range 35 elfu. Na zipo fununu hawa watu wa stationery wanasema huyo...
  3. JanguKamaJangu

    Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  4. Memento

    Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

    Bei ya Umeme yapanda na kuwa sh.357 kwa unit 1. Naipongeza serikali kwa hatua hii Ni miaka mingi imepita bei ilikua haijapanda, huku gharama za uendeshaji zikiongezeka maradufu. Pia hii sh. 357 ni ndogo sana, Serikali ilipaswa kuweka sh 700 kwa unit 1 ili kuweza kuleta tija kwenye shirika hili...
  5. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  6. William Mshumbusi

    Hatimaye na soda imepanda Bei Hadi 700

    Ikifika hivyo 2014 enzi za jk. Ikashuka 2016. Sasa imerudi kwa kasi. Au na soda zinatokea rusia? Bila kuchukua hatua dhidi ya mfumuko wa Bei umaarufu wa Samia utashuka kwa Kasi ya 4 g
  7. Ushimen

    Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

    Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh. Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa. Sasa ile natoka nje...
  8. M

    Thamani ya pesa ya urusi-Rouble imepanda ghafla kufikia kilichokuwa nacho kabla ya kuwekewa vikwazo!

    Mabeberu wenyewe wamekiri kwa mujibu wa CNN ambacho ni chombo Cha mabeberu kuwa thamani ya Rouble imepanda ghafla baada ya Putin kusisitiza kuwa kuanzia 01/04/2022 Kila Nchi inayohitaji gesi ya Urusi ITALAZIMIKA kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia manunuzi ya gesi!! Asiyetaka aache...
  9. J

    Rais Samia: Mishahara ya wafanyakazi wa CCM imepanda kwa 84% kwa watumishi wa chini na 25% kwa wale wa juu. TOT nao mishahara juu

    Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini. Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti...
  10. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  11. The Palm Tree

    CHADEMA waibua ufisadi kwenye tozo za mafuta ya petrol, diesel & kerosene. Bei badala ya kushuka ndiyo imepanda

    1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe. 2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene). 3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
  12. comte

    Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

    Kenyans voice fury over fuel price hikes Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic. Fuel prices are now at record levels after the country's energy...
  13. USSR

    Mfumuko wa Bei: Bei ya nyama imepanda Tsh 8,500 kwa kilo 1

    Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu. Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza...
Back
Top Bottom