Tumeshinda ni jambo jema lakini timu ilivokua inacheza inafikirisha kwakweli binafsi niliyoyaona
1 Beki zetu za kati bado naona kuna ka hali Fulani kanatia wasiwasi hiyo tar 8 sijui labda kwa vile derby haiamuliwi na kiwango cha timu husika inatokana na mambo mengi ningekua kwenye bodi ya...
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama...
Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBC Premier League
⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC
📆 30.11.2024
🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi
🕖 6:30PM(EAT)
KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
Tukutane hapa kwa Updates...
Updates...
18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa .
Umiliki ni...
Wana JF hali gani huko katika pilika za hapa na pale.
Kwa hali ilivo sasa ukiachilia mbali wazazi kusema mmesomesha mmelea na mmekuza hii hoja ya ya kutoa mahari inaanza kukosa mashiko.
Msingi wa kutoa mahari miaka ya zamani ulikua ni up?
Na je, miaka ya Sasa msingi ni upi?
NB: Angalieni na...
HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa.
Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
Wakuu,
Hebu achaneni kwanza na wasemao huwezi kujikwamua kwenye ajira, maana hayo ni maneno ya Motivation speakers tu. Hii ni kwasababu kazini kukiwa na maslahi mazuri, obvious utakuwa na ahueni kiuchumi.
Sasa turudi kwenye mada: Kama kichwa cha thread kinavyosema, hiyo ndo hali halisi huko...
Salaam, shalom!!
Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI.
Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000.
Je, Kodi hizi zina uwiano Gani na kipato chetu watumishi wa serikali?
Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa.
Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha...
Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu.
Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote.
Kauli hii inasikitisha.
Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama...
Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
Anasema " IF HEAVEN WAS REAL, WE COULDN'T HAVE TOLD AFRICANS ABOUT IT. WE WOULD BE GOING THERE SECRETLY"
How does it make sense? Ngozi nyeupe ni wabinafsi na hawatupendi wa Afrika. Wasingeweza kutufahamisha kuhusu kitu kizuri kama Mbingu kama kweli kingekuwa cha ukweli..
Mifano hai...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu.
Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
Tunaendelea kupata picha halisi ya yaliyojiri kabla ya mkataba huu wa aibu wa kuwahi kutokea kuhusu bandari zetu.
Wabunge walikwenda Dubai na wapo wanaodai kupewa kiasi cha fedha takriban 6M bila kujua hasa kwa madhumuni gani. Ni vigumu kuamini mbunge kuhongwa 6M ili kukubaliana na mpango wa ku...
Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo.
Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...
Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka.
Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.