Najaribu kuwaza nikifuatilia kisa hiki cha mirathi ya Mengi na najiuliza maswali mengi kuhusu haya maisha.
Mengi amepigana akajenga familia yake na biashara zilizomfanya mmoja wa matajiri wakubwa nchini. Akiwa katika uzee wake, akaachana na mkewe na karibu kila kitu kinavurugika.
Ugomvi ndani...
Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona.
Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine.
Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
Mwenyekiti wa CHADEMA anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia..
Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya taifa hili, hivi bado kuna la kujiuliza kuhusu walinzi wa Mbowe ambao tunaambiwa nao wana tuhuma ya kesi ya Ugaidi?
Si ndio huyu huyu Sabaya wanaosema kwamba alikuwa anataka kuuawa na ndio yeye aliwakamata?
Yaani Sabaya huyu huyu akakamate waliotaka kumuua na...
Moja kwa moja kwenye mada. Kwanini wanamichezo hasa wachezaji mpira, riadha n.k hawasumbuliwi na Covid -19?
Wengi wamekutwa na virusi lakini hawalazwi wanaendelea na mazoezi au kucheza mechi pia kama vile hawana chochote kwenye miili yao.
Wengi pia hupona bila kutumia dawa yoyote maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.