Nyumba inapangishwa Tabata shule.
Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba.
Kodi laki mbili kwa mwezi
Call me 0747744895
Mnakaribishwa.
Mahali - Bunju A
Kodi - Tshs 200,000
Maelezo Zaidi - 0742141467
Chumba masta, Sebule, Jiko.
Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule, Choo cha public ndani Na Jiko.
Kodi kwa Mwezi ni Tshs 250,000
Mahali goba, kwa awadhi
Umeme Submita yake, maji Dawasa, fensi geti, parking ipo.
Maelezo zaidi - 0742141467
Kwa UNYENYEKEVU mkubwa nawahabarisha kwamba
Hostel Vyumba 14 inapangishwa/kuuzwa
Eneo Malimbe: Mwanza Chuo Cha SAUT
Bei: Milioni 6 tshs kwa mwaka Kupangishwa / Milioni 180 tshs kuuza (mauzo yanajumuisha na nyumba ya kuishi ya vyumba 3)
Mawasiliano: 0719002081(whatsapp).
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center, bakery na nyingine nyingi.
ukipenda fremu bei ni laki tano kwa mwezi ina Sqm...
Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo:
Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom)
Sebule kubwa
Jiko lenye makabati (kitchen cabinets)
Public toilet
LUKU
Maji (DAWASA)
Parking ya kutosha
Paving...
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi.
Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi .
Ukihitaji kuona fremu nicheki
📞...
Nyumba ya kifahari ghorofa moja inapangishwa kigamboni mjimwema. 0756590833, 0623579290
Kitchen Shelf, Pre Paid Meter, Dining Area, Air Conditioning, Pop Ceiling, 24 Hours Electricity, Dishwasher, Wardrobe, Kitchen Cabinets, Tiled Floor, Hot Water
ina vyumba vitatu vitatu na kimoja nje, yaani...
Ina vyumba 3, umeme na maji yapo.
Ipo ndani ya fensi.
Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima.
Kodi ya udalali: Laki sita.
Site visit, 10000.
Mawasiliano:
0762967368(WhatsApp)/0655325457
Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule.
Eneo: Mbezi Beach
Bei Tshs 100,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu.
Tuwasiliana: 0686648630
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.