Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali.
Utakuwa ni aibu kubwa kama...
Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level .
🤣🤣🤣.
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
Wakuu
Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa
Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped.
Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen
Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa...
USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE
Na Comrade Ally Maftah
Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza kusema ndio mwanasiasa kinara kati ya miongo miwili yenye mabadiliko makubwa ya mitindo ya siasa, ukuaji...
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba.
Ukahaba ni roho moja chafu...
The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid.
Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10.
Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili.
Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao.
Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata...
Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara.
Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:
Hi
Jina langu ni Amna Ghanem.
Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
Mzuka wanajamvi!
Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa.
Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye vyombo vya habari.
Mjini Dakar mji mkuu wa Senegal hapaendeki. Mamia ya watu wameuwawa na vyombo...
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.
Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.