Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
Takwimu za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), mwaka 2020, zinaonyesha kuwa wakala ulisajili talaka 511 Tanzania nzima kati ya hizo 221 kutoka Dar es Salaam pekee. Idadi hiyo ni ongezeko la talaka 69 ikilinganishwa na talaka 442 zilizosajiliwa mwaka 2019.
Msajili wa ndoa na talaka wa...
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha
Anyway labda ni...
Amewataka:
: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu
: Dorothy ni mke wao
: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko
: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.
: D oroth anasema nilikamatwa na...
afya
akili
baba mkwe
bishop
chanjo
dorothy gwajima
gani
gwajima
hata
inatisha
kukosa
kuvunjika
live
matokeo
mbunge
movie
mrembo
nchi
ndoa
nidhamu
roho
sababu
sana
ubaya
uongozi
waziri
waziri wa afya
Habarini,
Leo nazungumza juu ya biashara haramu ya binadamu (human trafficking) naielezea, lengo kuu ni wote tuifahamu tujilinde na tulinde ndugu zetu. Ndio maana naomba sana kama una mchango wa mawazo, uzoefu au mifano halisi utushirikishe ili pamoja tulinde wapendwa wetu.
Human trafficking...
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.
Tanzania si shwari tena.
Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali.
Nimejiuliza maswali
1. Kuna ulazima wowote wa Spika Ndugai kutoa leads Kwa wabunge cha kufanya? Spika wa Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.