inatisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  2. M

    Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

    Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
  3. Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  4. Idadi ya ndoa zinazovunjika kwa mwezi Dar es Salaam inatisha: Utafiti waonesha 300, Kila Siku 10

    Wakuu Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
  5. M

    DOKEZO Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
  6. T

    Tetesi za uwepo wa Makanisa ya kitapeli na vile yanawatapeli Watanzania inatisha sana

    Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped. Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme Yupo Mungu wa kweli na Yesu anatawala sasa na hata milele. Amen Kile kinatokea ktk Tanzania kwa sasa...
  7. Biden kasimama na Israel na kuipinga ICC.. Inatisha.

    https://www.axios.com/2024/05/20/biden-reaction-netanyahu-arrest-warrants-gaza
  8. Paul Makonda ni kiungo wa kuaminiwa anaupiga namba yoyote atakayopangiwa

    USHUPAVU WA PAUL MAKONDA UNAMFANYA KUWA KIUNGO MUHIMU KATIKA CHAMA, KOCHA ANAMCHEZESHA POPOTE Na Comrade Ally Maftah Mimi ni shabiki mkubwa wa aina za siasa anazofanya Paul Makonda, naweza kusema ndio mwanasiasa kinara kati ya miongo miwili yenye mabadiliko makubwa ya mitindo ya siasa, ukuaji...
  9. Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  10. Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  11. Tanzania hakuna mgawo, South Africa inatisha, mgao ni wa kutisha!

    The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid. Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
  12. Kasi ya D Voice inatisha sana. Anawakalisha wakongwe kwenye game

    Supastaa mpya mjini D Voice aka Jini ameianza safari yake ndani ya Wasafi kwa kasi ya kutishia sana. Ameweza kuingiza nyimbo zote kwenye trend za Tanzania uku nyimbo tano zikiwa kwenye top 10. Tafsiri yake ni kwamba kijana kakubalika mno na kila mtanzania kila mtu ana shauku ya kumskiza...
  13. Sio Chama wala Kibu Dee, Hofu yetu Yanga ni Moses Phiri, Sub yake inatisha kama giza

    Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili. Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao. Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata...
  14. Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  15. Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  16. DOKEZO Nakatuba Mkoani Mara kimekuwa Kijiji cha watu kuuawa kwa sumu na ushirikina, Serikali iamke hali inatisha

    Bora niseme na jamii ijue kinachoendelea, taarifa ni kuwa kuna taarifa za watu kuuawa kwa sumu katika Kijiji cha Nakatuba, Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara. Pia kuna matukio yameshamiri yakihusisha imani za kishirikina na kuuana katika kijiji hicho hadi kusababisha baadhi ya vijana kukimbia na...
  17. DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

    DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
  18. DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾 Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI: Hi Jina langu ni Amna Ghanem. Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
  19. M

    Hali inatisha Senegal kuliko watu nje wanavyojua

    Mzuka wanajamvi! Kuna rafiki yangu msenegali ameenda kwao kumshughikia mke na mtoto wake Visa. Tumewasiliana kwenye Whatsapp anavyonisimulia kwa kweli hali inatisha tofauti tunavyosoma kwenye vyombo vya habari. Mjini Dakar mji mkuu wa Senegal hapaendeki. Mamia ya watu wameuwawa na vyombo...
  20. D

    Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

    Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno. Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…