Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali.
Nimejiuliza maswali
1. Kuna ulazima wowote wa Spika Ndugai kutoa leads Kwa wabunge cha kufanya? Spika wa Bunge...