Kwa wasichana ni unyago, na kwa wavulana ni jando! Katika huu uzi, ,neno "jando" limetumika kama neno la jumla kwa wavulana na wasichana! Haya, twende sasa!
Kama umeshafika kwa Wakurya, Wamasai, Wamakonde, na makabila mengine yenye utaratibu wa kuwaingiza watoto wao ukubwani kwa njia ya tohara...