Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu mjadara umekuwa mkubwa mtandaoni.
Kabla ya hapo mjadara mkubwa ulikuwa ni AMD ryzen 5000 dhidi ya...