inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndege inaweza kuruka juu chini?

  2. Condom inaweza kuzuia mikosi?

    Hii imekaaje wataalamu wa mambo ya kiroho? Uzi tayari.
  3. TCAA: Hakuna ndege ambayo inaweza kuingia nchini bila kuonekana, tuna Rada 4 zimesimikwa

    Katika kuadhimisha Siku ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) ambayo kilele chake ni Desemba 7, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Salim Msangi amesema kwa sasa hakuna ndege ambayo inaweza kuingia kwenye anga la Tanzania bila kuonekana. Akizungumza na Waandishi wa...
  4. Azam ya Rachid Taoussi inaweza wa-surprise sana Watanzania

    Najua wengi Huwa tupo busy na simba na yanga Yanga wapo ovyo saivi ata kesho akipoteza na namungo sio surprise Simba hawaeleweki wanacheza Nini infact wachezaji wenye uhakika wa number ni CAMARA na CHASAMBI 😎 Ila Azam ukiwaangalia wanakimbiza mwizi kimya kimya tu Hapo bin Zayed hajacheza...
  5. Huu Mkufu inaweza kuwa mali?

    Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Leo Kuna sehemu nilienda kupata lunch na boss wangu, mmoja hv, maeneo ya slipway....nilipoingia wash room wakati natoka nikakuta na huu Mkufu kwenye ngazi. Nahisi unaweza kuwa wa thamani. Mm sio mjuzi sana wa mambo haya ya...
  6. SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  7. Wataalamu : Cryosleep ina_faida yoyote kwa binadamu?

    Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye cryogenic sleep na kumuamsha tena. karibu kwa mjadala;
  8. MUHIMU: Kwa wale msio na Ajira kabisa hii inaweza ikawasaidia, Soma .

    Kwa wale ambao mkiamka hamjui mkashinde wapi. Kwa wale ambao mmesoma na mnapambania kupata ajira. Nimewawekea link ya group ya whatsapp hapa, kinachotakiwa ni wewe kufuatilia na kuwa Fasta. Watu waliopo Dar wana advantage kubwa zaidi, Kazi kulingana na Level yako ya Elimu [Ualimu, Ufamasia...
  9. S

    Pre GE2025 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

    Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
  10. S

    Gharama ya shangingi moja, inaweza kununua vifaa vingapi vya uokoaji wa watu walionaswa kwenye vifusi vya jengo la ghaorofa lililoporomoka?

    Wataalamu mliomo humu, naomba mtupe gharama ya vifaa vya kisasa vinavyotakiwa kwa shughuli za uokoaji kwenye majanga kama haya ya watu kufukiwa kwenye vifusi vya jengo la ghorofa lililoanguka. Ni bora tukajadili mambo haya labda wenye mamlaka wanaweza kuona aibu na kuchukua hatua ili siku...
  11. K

    Tanzania inaweza kwenda vizuri zaidi tusikubali tulipo!

    Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi. Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu yaendelee nchini kama vile hayatuhusu. Tuache kwa mara moja kufikira sisasa na kufikiria nchi. Mfano...
  12. Watanzania inabidi tuwe wazalendo tuipende nchi yetu kwanza halafu vyama baadae

    Wakuu Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua kwa sababu tunaonekana hatuna uzalendo kabisa. Imefikia wakati watu Wanapenda vyama kuliko kuipenda...
  13. Nahisi hii inaweza kuwa sababu kuu ya Elon Musk kuwachukia Democratic!

    Pamoja na kulenga biashara zake, pia suala la mwanae lilimuumiza sana na anaamini mitazamo ya kiliberali ya democratic ilichangia kwenye hilo! https://www.washingtonpost.com/business/2024/07/26/musk-transgender-vivian-grimes/ This is actually why Elon went against the democrats. He believes...
  14. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
  15. KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  16. Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  17. Kuna ukweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?

    Hello Great thinker wa JF, Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo? Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo? Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
  18. Tahadhari! Tafakari yaleo inaweza kugusa hisia zako hivyo kua mstaarabu wakati unatoa maoni yako au pita kimya kimya.

    WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO. WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO. NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO. NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
  19. Mbinu hii inaweza kutibu kigugumizi au stammering

    Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
  20. Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

    Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia humanoids robots zake zinazoitwa Optimus. Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “Optimus ni biggest product ever katika human kind” na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…