Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali.
Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje.
Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni mwa maeneo yanakolimwa nchini Kenya ni pamoja na Eldoret, Kiambu, Nyandarua, Meru, Nyeri, Nairobi...