increment

  1. Mjukuu wa Magika

    Kuna kosa la kiufundi Annual increment 2024 kwani baadhi ya madaraja

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri, nanyi mseme kazi iendelee. Serikali ya mama Samia imejitahidi kuponya madonda na majeraha ya watumishi wengi kwa kuwapandisha madaraja na kuinua kima cha chini cha mshahara na kwa baadhi wamefutwa kabisa makovu kwa kupandishwa mara mbili hasa wale walionyang'anywa...
  2. R

    Annual increment

    Serikali wekeni annual increments za watumishi kulingana na mikataba na makubaliano yalivyo.Kutofanya hivyo ni ukandamizaji na si sawa Mwaka unaisha lakini kupo kimya,annual increment ni haki kwa watumishi.
  3. S

    Mishahara haijapanda hata senti moja , nini maoni ya vyama wafanyakazi?

    Ndugu wana jukwaa, tarehe 25 June 2024. mishahara ya wafanyakazi wa serikali ilitoka. Hata hivyo hakuna nyongeza yeyote, hata ile annual increment. Cha kushangaza, vyama vya wafanyakazi viko kimya hata kutoa neno hakuna. Hivi vyama vina faida yeyote kwa wafanyakazi ama viko kwa masilahi yao ?
  4. M

    Hatuwezi kuunga mkono jambo la nyongeza ya mshahara

    1. Watumishi wote wa Umma wanatakiwa kupata Increment kila ifikapo tarehe 1, ya mwezi July kila mwaka. Kwa nini hawajapata hiyo Increment wakati Budget ilipangwa na kupitishwa Bungeni? Hizo fedha za Increment za mwezi huu amechukua nani na kwa misingi gani? Tunataka majibu ya haraka na yenye...
Back
Top Bottom