india

  1. India set to launch its first hydrogen-powered train this month

    India set to launch its first hydrogen-powered train this month Read more at: India set to launch its first hydrogen-powered train this month - ET EnergyWorld
  2. I

    Jinsi waislam walio wachache wanavyonyanyaswa nchini India na wahindu wenye itikadi kali

    Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India. Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo...
  3. Mabilioni ya Wahindi (India) hawana pesa za matumizi - Wakati tunatengeneza Dira tuangalie kama ndio huko na Sisi tunataka kwenda...

    Ripoti kutoka BBC... India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates. The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
  4. Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

    Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu. Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa. Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India...
  5. Tanzania na India wajifungia kuujadili uhalifu unaovuka mipaka

    Jeshi la Polisi nchini linaendelea kuchukua tahadhari katika kuzuia uhalifu unaovuka mipaka ukiwemo uhalifu wa mitandao na ugaidi ambapo kupitia ushirikiano wa Tanzania na India wamekubaliana kushirikiana katika nyanja mbalimbali ikiwemo upatikanaji wa mafunzo kwa Askari Polisi na vifaa vya...
  6. D

    China ni kama maji usipoyaoga utayanywa - India yasitisha ununuzi wa drone

    India ina mgogoro wa mpaka na China. Sasa ilikuwa imeeweka oda ya drone 400 kwenye makampuni yake ya ndani kwa ajili ya usafirishaji wa vifaa kwa majeshi yaliyo mpakani. Sasa imekuja kugundua hizo drone zina vifaa kutoka China. Inadaiwa uchunguzi wao ulianza hapo awali baada ya drone zao za...
  7. B

    Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  8. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  9. Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Nimeona tangazo la Dr. Zakir Naik anayetafutwa kufikishwa mahakamani na mamlaka za nchi yake ya India tangu mwaka 2016 kwa makosa ya ugaidi, utakatishaji fedha na kauli za chuki kuwa nchini wiki ijayo kwa shughuli za kidini. Hili jambo tumepima kama halitatuleta shida zinazoepukika na utata...
  10. Canada is the next india

    Sio kila unachokipanga ndicho kitakacho kamilika Msemo uo umemkuta waziri mkuu wa Canada Justin trudeau Aliingia madarakani mwaka 2015 - mpaka sasa Justin trudeau alivyoingia madarakani akaja na system yake ya immigration. Kwa maono yake alikuwa anataka kuingiza temporary immigration kama...
  11. J

    INVERTER ZA SOLAR KUTOKA INDIA

    SU VASTIKA SOLAR INVERTER SU-VASTIKA Inverter kutoka India zenya ubora wa hali ya juu Kwa sasa zinapatikana dukani kwetu zipo size kwanzia 850VA hadi 5500VA Warranty ipo.. karibu sana ndugu mteja 0653 615 773
  12. India: Mwanaume ameza kifaranga cha kuku ili apate mtoto

    Dunia inamaajabu yake na vituko kutoka kwa binadamu! Sasa man anataka apate mtoto kwa kumeza kifaraga baada ya kuambiwa na mganga wa kienyeji. Ila hawa waganga wa kienyeji wa hovyo na wapumbavu si Afrika pekee duniani kote akili zao zinafanana ili kuwapoteza wajinga ambao wanaamini katika imani...
  13. Filamu ya "Tantalizing Tanzania" Yazinduliwa Rasmi Nchini India

    FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
  14. Gharama za matibabu India, CAG anaweza kuzichunguza?

    1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho. 2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku walipa Kodi tukijilipia economy
  15. Hivi kuna watanzania wanaoishi na kufanya biashara India?

    Kwa walivyo na roho mbaya, wabaguzi, na wenye roho ya korosho, je kuna wabongo wanaoishi na kufanya biashara India? Kama wapo, nao wanatesa kama magabacholi wanavyofanya nchini?African victims of racism in India share their stories
  16. Ni trilion ngapi zinatosha kujenga Hospitali inayokidhi matibabu ya viongozi wetu ili wasiende tena India? India imekuwa Jehanamu inameza viongozi we

    Ifahamike kwamba, inaeezekana kabisa kuwachukia viongozi wetu kwa baadhi ya mambo hasa ya kisiasa ila si kuona wala kusikia wakifa mara tu wanapougua na kwenda India kwa matibabu Kama Taifa, kweli kabisa hatuna uwezo wa kujenga miundombinu bora na vifaa tiba vyote vinavyokidhi ubora kama India...
  17. Kitendo cha viongozi wengi kuendelea kuugulia kisiri na kufia India kinaashiria huduma za afya Tanzania bado ni duni na haziaminiki!

    Ndani ya kipindi cha wiki tatu tu Tanzania tumeshuhudia vifo vya viongozi wawili wa kitaifa wakifariki wakati wakitibiwa kisiri huko India kinaashiria bado huduma zetu za kiafya hapa Tanzania ni duni, mbovu au haziaminiki na watanzania walio wengi wakiwemo viongozi wakubwa wa kitaifa. Taifa...
  18. Waislamu wanavyopitia hukumu ya Pilato huko Palestina na India

    Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu, ambapo Waislamu mara nyingi wanajikuta katika hali ngumu ya kimaisha kutokana na changamoto za...
  19. Nini kinaikumba Japan? Mwakani India inaipiku na kuwa Taifa la tatu lenye uchumi mkubwa Ulimwenguni

    Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40. Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena. Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
  20. Rais wa nchi Kusifiwa na Familia za Marehemu wa Jana na Leo kwa Kuwapeleka Matibabuni India ni kutoka Mioyoni mwao / ni Siasa za Sifa za Kijinga tu?

    Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…