Mkutano wa kilele uliotarajiwa kuwakutanisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na mwenzake wa Japan Shinzo Abe umeahirishwa.
Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya India hatua hiyo inatokea wakati kukiwa na maandamano yaliyosababisha machafuko kwenye eneo lililoandaliwa kwa ajili ya...
Mlipuko huo ametokea asubuhi ya leo na imeelezwa kuwa wengi wa waliofariki ni Wafanyakazi wa Kiwanda hicho waliokuwa wamelala
Kikosi cha Zimamoto kimefika eneo la tukio na kuendelea na juhudi za kuuzima moto huo pamoja na kufanya kazi za uokoaji
Hata hivyo inahofiwa kuwa idadi ya vifo inaweza...
Shirika kuu la usalama wa mtandao nchini India, Cert, imewaomba watumiaji wa mtandao wa WhatsApp kupakua programu mpya ( ya hivi punde) katika simu zao baada ya kugundua kuwa kulikuwa na programu mpya ya udukuzi katika programu ya awali ya ujumbe wa programu hiyo.
Programu hiyo ya software...
Pakistani yafanya jaribio la kombora la 'Balistiki' lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia
Pakistani imefanya jaribio lenye mafanikio la kombora la balistiki lijulikanalo kama Shaheen-I lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia na kusafiri kwa umbali wa kilometa 650, hivyo kuiweka miji mingi ya...
Afisa wa Ulinzi alisema kuwa, hii ni mara ya kwanza kwa kombora hilo kufanyiwa majaribio nyakati za usiku
India siku ya Jumamosi ilifanikiwa kufanya jaribio la usiku la kombora la 'Agni-II', kombora la masafa ya kati la ardhini kwenda ardhini lenye uwezo wa kinyuklia kutokea katika kisiwa cha...
Maafisa wa kijeshi nchini India wamesema makabiliano kati ya wanajeshi wa Pakistan na India katika eneo lililo na utata la Kashmir yamesababisha mauaji ya watu 7 kutoka pande zote mbili.
Jeshi la India limesema wanajeshi wa Pakistan mapema hii leo walilenga eneo moja la mpaka wake na eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.