Please Serikali iwasaidie ndugu zetu zaidi ya 400 waliokwama India wanataka kuja nyumbani.
Ubalozi wa India utoe ushirikiano wa kutosa watu mpaka wanalia hali ngumu walipo wanaogopa kwamba hawapo salama.
Wapo wanafunzi, wagonjwa walioenda kutibiwa, wafanyabiasha. Please Air Tanzania...
Pyadyumna Kumar Mahanandi, aliendesha baiskeli kutoka New- Delhi india hadi Gothenburg, Swiden ili kukutana na mpenzi wake, Ann-Charlotte. Ilikuwa mwaka 1977, aliendesha baiskeli kwa umbali wa Km 4000.
Mahanandi alitokea kwenye familia ya kimasikini hali iliyofanya ashindwe kuendelea na masomo...
Vifaa hivyo vilitarajiwa kugundua antobody katika damu ya wagonjwa wa virusi vya corona
India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''Vina dosari''.
Mji wa Delhi pia umeondoa vifaa ambavyo tayari vilikuwa...
Ni filamu ya kihindi iliyotengenezwa mwaka 2008 inayoonyesha maisha ya kijana aliyekulia mtaani na kuwa tajiri kwa bahati tu
Filamu ilianza kwa kumuonyesha muhusika Jamal, akiwa kwenye kipindi cha ‘who wants to be a millionaire’ kipindi kilikuwa kinauliza maswali mengi tofauti na atakaye patia...
Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva..
..Kipaji chenyewe ni ngumi...ndio surya anatoka jeshini akiwa na medali ya mapambano ya ana kwa ana..amepewa adhabu...
Duniani kun mambo.
Kama wewe unafikiri ugonjwa wa Corona ni hatari hata kuutamka, huko India familia imepata mapacha majuzi na wameaua kuwaita watoto hao Corona na Covid!
Maisha yanaendelea!
----
Twins born during pandemic named Corona and Covid
A boy and a girl born in the midst...
Ili kupambana na usambaaji wa Virusi vya Corona Serikali ya India ilizuia watu kutoka nje.
Kwenye video hii polisi wanaonekana kuchapa watu waliowakuta wakitembeatembea nje na kuwapa adhabu mbalimbali kwa kukosa utii
Source: abcworldnewstonight
Officials in the Indian city of Ahmedabad criticised for building a wall to 'hide a slum dwelling' before the president's visit
New Delhi authorities in India have been accused of attempting to hide poverty from Donald Trump after building a wall around a slum in Indian Prime Minister Narendra...
Viongozi kumbukeni "karma"..nimefedheheka sana yaani Wazee wanatimuliwa kwenye eneo waliloishi miongo kadhaa na masikini wengine wanajengewa ukuta ili kuficha hali halisi ya eneo.
Kumbe kuwa masikini ni uchafuzi wa mazingira aisee...daaah..Nimekumbuka maadui watatu tena ingawa nilikuwa sitaki...
Askari wa mji wa Bengaluru, India wamemkamata mtanzania Ejike Celestine akiwa na vidonge 600 vya madawa, yenye uzito wa gm 250
Madawa yaliyokamatwa yana thamani ya zaidi ya milioni 64.3 na aliyapata kutoka kwa mtu asiyefahamika katika mji wa Goa
Nchini India kidonge kimoja ni sawa na tsh...
Familia ya watanzania baba, mama na watoto wawili wamekwama katika uwanja wa ndege wa KIA huko India kwa siku 6 sasa. Gazeti la India linadai watu hao ilishindikana kubebwa na Air Tanzania hata hivyo shirika la ndege la Oman limekubali kuwachukua.
===
Sources told Bangalore Mirror that though...
Chuo maarufu nchini India kimeanza kutoa kozi ya ngazi ya cheti kwa madaktari jinsi ya kutibu wagonjwa wanaopatwa mapepo au huyaona.
kozi hiyo ya miezi sita katika chuo kikuu cha Banaras Hindu (BHU) kwa mji wa kaskazini wa Varasanasi, kozi hiyo itaanza mwezi Januari.
Na pia kozi hiyo itakua...
Imebainika moja ya mazao makubwa yanayokuwa exported toka Tanzania kwenda India ni ngono, hii ni baada ya soko letu la bilioni 500 la mbaazi huko India kuyeyuka.
Je, tupo sahihi kuexport bidhaa hii? Video hapo chini ina maelezo ya ziada na ya kina.
Ila pia sijafurahia hii tabia ya mabeberu...
Maelfu ya watu wamejiunga na wimbi jipya la maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia nchini India huku idadi ya waliokufa katika vurugu hizo za karibu wiki mbili ikifikia watu 23.
Idadi ya vifo imepanda siku moja baada ya kuzuka maandmanao ya vurugu kwenye jimbo la Uttar Pradesh ambako watu 15...
Polisi nchini India wamewatia mbaroni zaidi ya watu Mia Moja waliokuwa wakishiriki katika maandamano ya kupinga muswada wa uhamiaji uliopitishwa na Mabunge yote mawili ya nchi hiyo, Muswada ambao wanauona kuwa ni wa kibaguzi.
Hasira za Waandamanaji zimeongezeka baada ya mahakama nchini humo...
Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu.
Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani.
Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi.
Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.