india

  1. Infantry Soldier

    Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

    Mambo vp jamiiforums. Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana. ========== ========== Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa...
  2. beth

    #COVID19 CoronaVirus: India yarekodi maambukizi mapya zaidi ya 300,000 kwa siku ya sita

    Ndani ya saa 24 zilizopita, India imerekodi visa vipya 323,144. Ni siku ya sita kwa Taifa hilo kuripoti maambukizi mapya zaidi ya 300,000 na visa vimefikia Milioni 17.64 Hospitali zimekuwa hazipokei Wagonjwa kutokana na uhaba wa vitanda na Oxygen. Vifo 2,771 vimerekodiwa katika siku moja lakini...
  3. BAK

    Wanawake wa Kibongo wadanganywa na kupelekwa India

  4. Jidu La Mabambasi

    #COVID19 CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
  5. BAK

    Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

    Covid: India on UK travel red list as Covid crisis grows Coronavirus pandemic A medic tests a bus passenger in Jaipur, Rajasthan, India, on Thursday India has joined the UK's travel red list - effectively banning travel - as a deadly second wave of infections sweeps the country. British and...
  6. T

    #COVID19 India: Mlipuko mpya wa Covid-19, UK. USA, zatangaza zuio la safari za India; hapa kwetu wasafiri Wahindi kama kawaida

    UINGEREZA imeiweka India katika orodha nyekundu, red list, ya vikwazo vya safari. Rais wa Uingereza peke yao ndio watakaoruhusiwa kuingia kutoka India. Zuio hilo linaanza kesho Ijumaa. April 23, 2021. Hii ni baada ya mfumuko mpya wa maambukizi na vifo vya COVID-19 nchini India unaoifanya nchi...
  7. beth

    India yarekodi visa 200,000 kwa Virusi vya Corona kwa mara ya kwanza

    India imerekodi visa 200,739 ndani ya saa 24 zilizopita huku Hospitali nyingi zenye wagonjwa wa Virusi vya Corona zikiripoti uhaba wa vitanda na Oxygen Taifa hilo linakabiliwa na wimbi jipya la maambukizi ambalo kitovu chake ni Maharashtra, lilipo Jiji la Mumbai. Zaidi ya robo ya maambukizi ya...
  8. Analogia Malenga

    India: Askari 22 wauawa, 30 wajeruhiwa na Chama cha Wakomunisti (maoist)

    Polisi 22 wameuawa na wengine 30 wakijeruhiwa katika jimbo lenye utajiri wa dhahabu la Chhattisgarh, India baada ya kuvamiwa na wafuasi wa Chama cha Kikomunisti cha India (Maoist). Kulikuwa na majibizano ya risasi yaliyodumu kwa saa nne ambapo imepelekea vifo vingi kuliko matukio yaliyowahi...
  9. Shadow7

    African tribe, long marginalised in India, seeks sporting glory

    Siddi community is believed to have descended from Bantu peoples of sub-Saharan Africa and mostly live on India’s western coast. Shahnaz Lobi, right, along with other members of Siddi community join an exercise routine during an athletes programme at Jambur village in Junagadh district of...
  10. Sam Gidori

    India kutafuta njia mbadala ya kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
  11. Pinkman

    Maajabu ya 'ziwa la mifupa ya binadamu' India

    CHANZO CHA PICHA,HIMADRI SINHA ROY Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu. Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul, moja ya milima mirefu, katika jimbo la...
  12. Sam Gidori

    India kutunga sheria kubana zaidi mitandao ya kijamii baada ya kutunishiana misuli na Twitter

    Baada ya msuguano baina ya serikali na mtandao wa Twitter kufuatia maandamano ya wanaharakati wanaotaka mageuzi ya kilimo kuhusu kuondolewa kwa maudhui yanayodaiwa kupotosha na kuhatarisha usalama wa taifa, serikali ya India sasa inatunga mswada utakaolazimisha mitandao ya kijamii kukubaliana na...
  13. B

    Report ya Mapigano ya mpaka wa India na China ya 2020

    Chanzo: www.trt.net.tr Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020 Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India katika Bonde la Galvan. Kulingana na ripoti ya Jeshi la Ukombozi wa Umma (PLA) ya gazeti la siku...
  14. Webabu

    #COVID19 Kushuka athari za Corona India kwawashangaza Wataalam wa Afya

    Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu. Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana ilikisiwa kuwa taifa hilo la pili kwa idadi ya watu duniani lingeathirika zaidi.Kuna kipindi maambukizi...
  15. Sam Gidori

    India yafungia kwa muda akaunti za Twitter za wanaharakati wa mageuzi ya kilimo

    Mtandao wa kijamii wa Twitter umezifungia kwa muda akaunti za baadhi ya watu waliojihusisha na maandamano ya kutaka mabadiliko katika sekta ya kilimo, ikiwamo akaunti ya gazeti maarufu la Caravan linaloandika kuwatetea wakulima, mwanaharakati Hansraj Meena na mwigizaji Sushant Singh. Hatua...
  16. Analogia Malenga

    India: Wakulima waandamana kudai mageuzi ya kilimo

    Maelfu ya wakulima wamekuwa wakiandamana kudai mageuzi katika sekta ya kilimo wamepigana na kulazimisha kuvuka kizuizi cha polisi na gesi za kutoa machozi kuingia katika eneo la kihistoria la Delhi -Red Fort Walikua wakiandamana kwa miguu na wengine wakiwa ndani ya matrekta wakiwa ni sehemu ya...
  17. Analogia Malenga

    India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  18. Webabu

    Wakulima India wabomoa minara 1500 ya simu

    Maandamano ya wakulima yanayoendelea nchini India hasa hasa jimbo la Punjab yamepelekea minara ya simu ipatayo 1500 kuharibiwa. Uharibifu huo ni kwa kuiba majenereta yanayoendesha mitambo hiyo na kukatwa kwa nyaya za mawasiliano zinazoiunganisha na minara mingine. Katika moja ya video...
  19. Analogia Malenga

    Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
  20. Analogia Malenga

    Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

    Ubalozi wa India nchini Tanzania umewatahadharisha raia wake wote kutokubali kuajiriwa na kampuni ya MeTL ya Mo Dewji. Hatua hiyo imekuja baada ya kupata taarifa za manyanyaso kwa wafanyakazi hao ikiwemo kulazimishwa kulazimisha kujaza kesi za uwongo na kukamatwa. Katika taarifa yao Ubalozi...
Back
Top Bottom