Maambukizi Nchini India yamefikia Milioni 25, ikiwa ni Taifa la pili ulimwenguni kufikia idadi hiyo baada ya Marekani. Visa vipya 263,533 vimerekodiwa katika saa 24 zilizopita na kupelekea jumla ya maambukizi kuwa Milioni 25.23.
Idadi ya maambukizi mapya imekuwa ikipungua katika Taifa hilo...
Mabaki ya watu wanaokadiriwa kuwa 600-800 yalipatikana kwenye eneo hilo
Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu.
Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul...
India imeripoti kushuka kwa maambukizi ya virusi vya corona katika miji yake mikubwa miwili ya Delhi na Mumbai, inayokaliwa na zaidi ya theluthi mbili ya wakazi bilioni 1.4 wa taifa hilo.
Maambukizi mapya 326,098 yameripotiwa ndani ya saa 24 zilizopita, pamoja na vifo 3,890, ingawa wataalamu wa...
The Kailasa temple in Maharashtra, India. Carved out of one single rock, it is notable for being the largest monolithic structure in the world. Also known as ‘Cave 16’ of the Ellora Caves, the temple was built in the 8th century during the reign of the Rashtrakuta king Krishna I...
Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika.
Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa...
Watanzania wawili wamekamatwa na zaidi ya kilo 15 za heroin katika uwanja wa ndege mjini Chennai nchini India.
Watanzania hao (Mwanamume na mwanamke) waliofika Chennai kwa ndege ya Qatar Airways 528 kutoka Johannesburg kupitia Doha, kwani hawakupata ndege ya moja kwa moja kwenda Bengaluru...
Aina mpya ya Virusi vya COVID19 kutoka India na Uingereza imegunduliwa nchini Afrika Kusini, Wizara ya Afya imeeleza.
Visa 11 vya maambukizi ya aina ya Virusi vya B.1.1.7 (Uingereza) na visa 4 vya B.1.617.2 (India) vimegunduliwa katika majimbo ya Gauteng na Kwazulu-Natal, na waathirika wamekuwa...
Visa vipya 414,188 na vifo 3,915 vimerekodiwa Nchini humo na idadi ya maambukizi imefikia Milioni 21.49 huku waliopoteza maisha wakifikia 234,083.
India imerekodi jumla ya visa Milioni 1.57 na vifo vipatavyo 15,100 kwa wiki hii pekee huku ikiaminika takwimu halisi za maambukizi na vifo ni kubwa...
Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India
WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni pamoja na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha. Katika saa 24 zilizopita, watu...
Mabibi na mabwana kutokea Afrika Kusini, kuna habari za meli kuwasili huko ikiwa na mzigo wa hatari na wa kutosha kutokea India:
https://www.enca.com/news/vessel-india-docked-durban-crew-tests-positive-covid-19
Huu umewasili kwenye meli. Tena bila shaka kabla ya kutoka India walipimwa dhidi...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia leo Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Abiria wote walioathiriwa na uamuzi huu watarudishiwa gharama zao za Safari.
INDIA: VISA VYAFIKIA MILIONI 20, UPATIKANAJI OXYGEN BADO...
Hospitali zinaendelea kuomba misaada ya dharura ya Oxygen huku Mamlaka za Mji Mkuu wa Delhi zikitoa rai kwa Jeshi kuwasaidia kukabiliana na mlipuko. Taifa hilo lina maambukizi zaidi ya Milioni 20.
India ambayo inashambuliwa vikali na wimbi la pili la maambukizi ya Virusi vya Corona imerekodi...
Hapa nchini tuna jumuia kubwa ya wananchi wenzetu ambao wana Asili ya India, miongoni mwao huwa wanasafiri kwenda na kurudi Ibdia kwa shughuli za kijamii, kibiashara na Kidini.
Na tunajua kuwa hali ya India kwa sasa kutokana na Janga la Covid 19 kuwa ni kubwa Naishauri serikali kufunga mara...
“The NWO Perpetrators of the
Coronavirus pandemic hoax
have targeted India with the
COVID-19 Vaccine Bioweapon
to perpetuate the appearance
of Global Covid Outbreaks.”
— Intelligence Analyst & Former US Military Office
The Covid Con criminals did not even try to hide their genocidal deceit...
Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo.
Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
Shehena ya kwanza ya msaada wa Taiwan kwa India kusaidia nchi hiyo kukabilina na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona imeondoka leo kwenda mjini New Delhi ikiwa na mashine 150 za kupumua na mitungi 500 ya hewa ya Oksijeni.
Rais wa Taiwan Tsai Ing-wen
Wizara ya mambo ya kigeni ya Taiwan...
Wakazi pamoja na Raia wa Australia ambao wamekuwa India watapigwa marufuku kuingia Nchini humo kuanzia Mei 03, 2021 na wale watakaokiuka wataadhibiwa kwa kifungo na kutozwa faini.
Kuanzia Jumatatu, mtu yeyote ambaye amekuwa India ndani ya siku 14 kutoka tarehe yao ya kuwasili Australia atapigwa...
Nafahamu Rais wetu uko busy Dodoma na masuala ya kichama.
Hongera kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM.
Sitaki kuingia sana huko na sina maneno mengi kuhusu siasa.
Nakuomba ufunge mipaka kati ya Tanzania na India kwa muda hadi pale hali ya corona itakapotulia kule kwa wenzetu.
Wanatia...
Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
https://www.bbc.com/news/world-asia-56919924
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi...
Kenya has suspended passenger flight from India to Kenya for the next 14 days, Health CS Mutahi Kagwe has announced.
The new directive will take effect in the next 72 hours.
This follows a surge in Covid-19 cases in India.
Kagwe however said cargo flights will continue upon adherence to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.