india

  1. Miss Zomboko

    Serikali ya India yafungia App ya AliExpress na nyingine 42

    Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanategemea kusafiri kwenda nchini India basi ni muhimu kujua kuwa Apps mbalimbali ambazo zinamilikiwa na kampuni za kichina ikiwemo TikTok na nyingine kama AliExpress zote zitakuwa hazifanyikazi. Kwa mujibu wa serikali ya India, Sababu za kufungiwa kwa...
  2. M

    Reuben Singh Singasinga 'Ginimbi' kutoka India

    Inakuwaje! Huyu singanga mwenye asili ya India haoni aibu kabisa kuanika utajiri wake kwenye social media. Reuben Singh mwenye umri 44 ni Entrepreneur na CEO wa alldayPA and private equity firm Isher Capital. Alizaliwa 20 September 1976 Yorkshire Uingereza. Anapenda sana kujionesha na Rolls...
  3. Miss Zomboko

    India: Maofisa wa Polisi wafukuzwa kazi baada ya kuharibu ushahidi wa tukio la binti kubakwa na kuuawa

    The victim, a 19-year-old Dalit woman, died earlier this week from injuries sustained during an alleged gang rape by four upper-caste men. Local police have been accused of mishandling the investigation. India's Central Bureau of Investigation has taken over the case of a 19-year-old Dalit woman...
  4. Sam Gidori

    India: Watu 10 wafariki baada ya jengo la ghorofa tatu kuporomoka

    Takriban watu 10 wamepoteza maisha baada ya jengo la makazi ya watu lenye ghorofa tatu kuporomoka mapema leo asubuhi katika eneo la Bhiwandi lililopo katika viunga vya jiji la Mumbai, India. Zaidi ya watu 25 wanahofiwa kukwama chini ya vifusi vya jengo hilo, kwa mujibu wa Kitengo cha Taifa cha...
  5. Kurzweil

    Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  6. K

    India turns to prayers as Coronavirus numbers surge

    India has turned to prayers as Coronavirus numbers have gone up. India now reports tens of thousands of new corona cases every day. In many places, there is hardly any medical care. But the government sees itself armed and is relying on a very special “cure”. Every day he is in his little...
  7. MK254

    USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
  8. T

    Mgogoro wa China na India, Airtel kuachana na Huawei

    Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei. Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G. Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani...
  9. Analogia Malenga

    Virusi vya Corona: Dawa za kuokoa maisha ya wagonjwa wa Covid-19 zauzwa kwa magendo India

    Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa aina mbili za dawa ambazo zilitumika kutibu wagonjwa wa corona nchini India - remdesivir na tocilizumab - zimekuwa zikiuzwa katika soko la magendo kwa bei ya juu ndio maana kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo.Mwandishi wa BBC, Pandey anaripoti kutoka mji mkuu wa...
  10. T

    Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

    Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei. Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari ya Huawei na kuanza kuachana nayo. India imesema itaiondoa Huawei kushiriki kwenye majaribio ya 5G...
  11. YEHODAYA

    Wafanyabiashara weusi Tanzania, pelekeni watoto India wasome shahada za family business ili mkifa biashara zisife

    Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha biashara. Nashauri wafanyabiashara wa ngozi nyeusi wapeleke watoto vyuo vikuu vya India wakachuke degree...
  12. Webabu

    Kwanini India katika kila vita hushindwa vibaya sana

    India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake. Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa...
  13. MK254

    India na China wakinukisha, wanajeshi watatu wa India wauawa, dunia inatamani sana damu

    Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
  14. Dua

    Rais Magufuli aongea na Waziri Mkuu wa India

    ''Prime Minister Shri Narendra Modi had a phone call today with His Excellency Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania. The Prime Minister warmly recalled his July 2016 visit to Dar-es-Salaam and stressed on the importance that India attaches to its...
  15. Cannabis

    India : Taharuki baada ya Nyani kuiba sampuli za damu za waonjwa wa COVID19 kuzitafuna na kukimbia

    Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19. Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
  16. Miss Zomboko

    Kimbunga chaua watu 84 nchini India na Bangladesh

    Kimbunga Amphan chaua watu 84 nchini India na Bangladesh Kulingana na ripoti rasmi iliyotangaza Alhamisi hii, Mei 21, nchini India, "watu 72 wamefariki dunia, ikiwa ni pamoja 15 huko Calcutta," Waziri Mkuu Mamata Barnerjee amewaambia waandishi wa habari. Upande wa Bangladesh, polisi na maafisa...
  17. G Sam

    Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

    Mtanzania ambaye passport yake imewekwa hapa amefariki akiwa njiani kuja Tanzania kutoka India. Aliugua ghafla akiwa Dubai na amezikwa huko huko. Ni kwenye ile ndege yetu iliyoenda kuwachukua.
  18. J

    Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

    Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama. Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
  19. sinzahome

    ATCL Kwenda India ni ukatili kwa Watanzania

    Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kutumia ndege yake ya Boeing 787 Dreamliner inataraji kwenda nchini India kuwachukua watanzania 255 waliokuwa wagonjwa wakipatiwa matibabu nchini humo. Suala hili ukiliangalia juu juu unaweza kusema ni upendo wa Serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kwa...
  20. Miss Zomboko

    Watanzania waliokwama India kwa sababu ya Corona kurejeshwa nchini hivi karibuni

    Ubalozi wa Tanzania nchini India umeeleza kuwa unaendelea kuandaa utaratibu wa kuwarejesha nchini Watanzania waliokwama India. Katika taarifa yake, ubalozi huo umesema kuwa utahusika katika kuomba vibali vya ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kutua katika Jiji la Mumbai tarehe 11 Mei...
Back
Top Bottom