Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini India ilhali wakiwa wamebeba dawa za kulevya. Hata hivyo licha ya kutumia mbinu ya kupata vibali vya...
Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321
India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua.
Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa na migahawa, baa na kumbi za sinema zitaruhusiwa kufanya kazi kwa sharti la kuchukua watu 50% ya...
Hakuna chombo hata kimoja cha safari za anga za mbali kilichotua mwezini mwaka uliopita. Lakini, tunaendelea kusikia habari kuhusu mwezi. Nchi nyingi na makampuni yanajiandaa kwa kupatwa kwa mwezi mwaka huu.
NASA itazindua mpango wake wa Artemis mwaka huu kama sehemu ya hili, mwanaanga wa kike...
Nimekua nikiamini kuwa hakuna bara linaloifikia Afrika kwa uzuri wa kusapoti uhai, yaani vitu kama rasiliamali nyingi, hali ya hewa, ardhi yenye rutuba, maji ya kutosha(sub saharan), wanyama wengi wa kuwinda/kula nk. nk.
Pia nimekua nikiamini kuwa Afrika ndipo binadamu wa kwanza walipoishi...
Takriban watu 12 wamefariki dunia na wengine wapato 13 kujeruhiwa mapema leo kufuatia mkanyagano katika jumba la kidini la Mata Vaishno Devi huko Kashmir ambalo hutembelewa na maelfu kila siku kwa ajili ya maombi.
Ripoti za awali zinaeleza kuwa mkanyagano huo ulitokana na idadi kubwa ya watu...
Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini.
Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
Kuna tuhuma zinaanza kuenea taratibu, Inasemekana logo ya Kampuni mpya ya Wasafi Bet imefanana sana na logo ya kampuni ya Wily Trchnology Pvt Ltd, inayoshughulika na masuala ya IT nchini India...Baadhi ya wadau wanasema logo ya Wasafi Bet imetengnenezwa kwa kutumia mfumo wa copy & paste kama...
Habari zenu...
Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema...
Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online.
Na kila muhindi...
Hii nchi Ina laana kama balaa bluu.
Tangu juzi India inalalamika kupokea watu wao wanaorudi kutoka Tanzania wakiwa na Omicron the latest COVID-19 na walipimwa huku wakawa Negative. Nashangaa hakuna mwenye dhamana anayejibu chochote. Watu wamekaa kimya na kisheria ukinyamaza Ina maana umekubali...
Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida.
Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la bibi na wapigaji. Mikataba ya uzalishaji ya kinyonyaji na makampuni binafsi na ubadhilifu wa vigogo...
Wanakijiji wenye hasira leo wameyachoma moto magari ya jeshi baada ya wanajeshi kuwauwa watu kadhaa waliodhaniwa kuwa wanamgambo katika jimbo la kaskazini mashariki mwa India.
Kiongozi wa jimbo hilo la Nagaland Neiphiu Rio amelaani kwa matamshi makali mkasa huo aliosema haukutarajiwa na...
Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo mpya ya Kirusi
Imesema haijajulikana kama abiria kutoka Tanzania aliyeripotiwa kubainika na Kirusi...
Wimbo ulio Bora 3 :4
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa.
Pastor Lucy Natasha alinukuu huo wimbo ulio bora mbele ya kusanyiko la wapendwa hivi majuzi kuthibitisha...
Nawaza hapa kwa nia njema, wadau tunakesha tukiachia software za kishua tu huko nje zinatumika, ina maana hatujafikia kiwango cha kushawishi hizi serikali za ukanda huu, mpka ERP inafuatwa India kwa gharama ya milioni 30 dola za Kimarekani. Hela ndefu sana hiyooo.
=========
A statement...
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka.
Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa...
Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta mbinu za kupunguza hewa chafu.
Jiji hilo limekuwa likipambana na ukungu wenye sumu tangu mapema Mwezi...
Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa.
Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa?
Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.
Indian Troops embarking in SS Devonshire bound for Singapore. Bombay, India 24th January 1942 (IWM)
Note: SS Devonshire was part of convoy "BM.12", which was originally WS.14B arriving in Bombay on the 19th January 1942, then the convoy became 'WS14.D' on departure from Bombay on the 27th...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.