india

  1. kyagata

    Inamaana Tanzania nzima hakuna mtu anayeweza kuwa Senior Accountant mpaka akatafutwe India?

    Kwema wakuu Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka...
  2. kavulata

    Waafrika twendeni tukazoe mafuta ya chee Urusi kama wanavyofanya China na India

    Uchumi wa China na India inazidi kupaa wakati dunia ikiyasusia mafuta ya Urusi kibwege Afrika tumerogwa kwelikweli, hatununui mafuta ya Urusi eti tunaunga mkono shida za watu wanaotudai madeni makubwa sana wakati China na India na wajanja wengine wanaitumia fursa ya vikwazo vya mafuta kupata...
  3. The Assassin

    Vijana wa kiislamu walika mkong'oto baada ya kuandamana huko India

    Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu. Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
  4. Analogia Malenga

    India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

    Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur. Siku ya mazishi...
  5. A

    Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

    Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na...
  6. T

    Mkopo wa Trilioni 1.2 kutoka EXIM Bank ya India zinazotumika kwenye miradi ya maji

    Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana. Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits...
  7. beth

    India: Ajali ya basi yaua watu 22

    INDIA: Takriban watu 22 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa vibaya baada ya Basi kutumbukia kwenye korongo eneo la Uttarkashi, Ukanda wa Kaskazini mwa Nchi hiyo. Basi hilo lilikuwa na watu 30, na mmoja bado hajulikani alipo Kwa mujibu wa Serikali ya India, inakadiriwa watu 150,000 hufariki...
  8. I am Groot

    HOLLYWOOD MOVIES: kwa nini huwa wanaweka filter za rangi za ajabu ajabu hasa kwenye scenes au movies zinazohusu Africa, India, .......?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
  9. M

    Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

    Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
  10. BigTall

    Wazazi wadai fidia ya Tsh bilioni 1.5 kwa mtoto wao kama asipoleta mjukuu

    Familia moja ya wazazi Nchini India imefungua kesi kwa mtoto wao wa kiume na mkwe wao wakitaka waletewe mjukuu ndani ya mwaka mmoja au walipwe Rupia milioni 50 (Rupia milioni 25 kutoka kwa kila mmoja) sawa na Tsh bilioni 1.5. “Mwanangu amekuwa kwenye ndoa kwa miaka sita lakini bado hawajapata...
  11. JanguKamaJangu

    Watu 27 wafariki kwa ajali ya moto India

    Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...
  12. Linguistic

    Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India.

    Wajubaa . Mume Sasa Atatiwa Hatiani Kwa Kosa la Kumbaka Mkewe Nchini India. . Wakuu, Baada ya Kusililizwa Kwa shauri lililolenga ktaka kwamba iwe Kosa la ubaki ni pale Mme anapomlamzimisha mkewe KUFanya tendo la Ndoa. . Hatimaye Justice Rajiv Shakdher Wa Mahakama Kuu ya Delhi amefuta kifungu...
  13. Mc FR

    INAUZWA Mzani original wa india sh. 150,000/-

    MZANI ORIGINAL WA INDIA SH. 150,000, UPO MIKWAMBE KIGAMBONI MAWASILIANO; +255658628441
  14. Lady Whistledown

    #COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  15. Lady Whistledown

    India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  16. M

    Hongereni 'Mortuary Attendant' wa Tanzania, ila usiombe Nduguyo afie India halafu uje uipokee Maiti yake waliyoiandaa Wao huko

    Kuna Maiti nimetoka kuipokea na kwenda Kuihifadhi Hospitali fulani Jijini Dar es Salaam ila baada ya Kuifungua ili ianze kuwa treated ikitokea nchini India alikofia kiukweli nimeamini Waafrika tunadharaulika mno na hawa Wahindi siyo Watu japo hapa Tanzania tunawapenda na hata Kuwanyenyekea vile...
  17. Webabu

    Wezi waiba daraja India

    Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar . Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa...
  18. John Haramba

    Waziri Mkuu Mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif: Pakistan inapendelea zaidi Amani na Uhusiano wa kushirikiana na India

    Waziri Mkuu mpya wa Pakistan, Shebaz Sharif amesema nchi yake inapendelea zaidi amani na uhusiano wa kushirikiana na India, mtazamo ulioonesha kuchaguliwa kwake huenda kukatoa nafasi mpya ya kuwepo maelewano ya kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili jirani zenye silaha za Nyuklia. Katika ujumbe...
  19. Dr Akili

    Mafuta na gesi ya Russia yaendelea kwenda kwa wingi India, China na nchi za EU. Hizo za ulaya wanayanunua kwa rubles

    Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya...
  20. Dr Akili

    Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
Back
Top Bottom