Serikali ya India inatarajiwa kuanzisha Chuo cha Teknolojia nchini ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), pamoja na kozi nyingine zinazoendana na mrengo huo.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo Dares Salaam...
Na Mwandishi Wetu, MoHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia.
Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow.
“Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la...
Kwa ufupi.
Mashine za kuchimba miamba mahususi kwa visima vya maji, migodi au ujenzi.
Zinauzwa kutoka kampuni ya JCR RIGS ya India.
Zote nitakazokuwa na post hapa zipo India.
Ukiitaji utatumiwa quotation na sales representative wa JCR RIGS.
Malipo unalipia moja kwa moja JCR RIGS INDIA...
Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote walipo, waswa matajiri....
Indian police investigate death of Russian MP
The politician who was visiting...
Barua ya Dkt. VG Somani, Mdhibiti Mkuu wa Dawa iliyotumwa kwa Mkurugenzi Shirika la Afya (WHO) anayesimamia Udhibiti na Sifa za Dawa imesema dawa hizo zilizingatia Viwango vyote vya Usalama.
Dawa hizo zililalamikiwa na Serikali ya Gambia baada kuwepo ongezeko la Watoto wenye chini ya miaka 5...
Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu.
Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku.
Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020.
Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India...
Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi.
Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi zilipokuwa zikiendelea, tamko la Polisi limesema “Panya ni Wanyama wadogo na hawawaogopi askari ni...
Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine.
Anaona haitoshi kupewa silaha na...
Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania.
Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba).
Hii ni syndicate.
Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012.
Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu mkubwa wa ushahidi wa uhakika, thabiti na wa wazi huku wakimlaumu Jaji aliyewafunga wanaume hao...
Takriban watu 132 wengi wako wakiwa ni Watoto, Wanawake na Wazee, wamepoteza maisha wakati daraja la waenda kwa miguu la Morbi likiporomoka katika Jimbo la Magharibi la Gujarat
Mashuhuda wanasema ajali hiyo imetokana na daraja hilo (ambalo lilifunguliwa tena wiki moja tu iliyopita baada ya...
Doc Benway
4 hours ago
I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971.
Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India
Nimeuliza ubalozi wa...
Mbwa mmoja wa Polisi aitwaye Zanjeev amekuwa mbwa wa polisi nchini India kwa miaka mingi.
Amewasaidia polisi kutatua kesi nyingi za jinai ambazo bila yeye wangeshindwa kuwatia hatiani wahalifu.
Lakini tukio lililompa umaarufu mkubwa ni wakati magaidi toka Pakistan walipotega mabomu mjini...
Waziri wa Afya Anil Vij, amesema uamuzi huo umechukuliwa baada Mamlaka kukagua kiwanda cha Maiden kilichotengeneza dawa hizo na kubaini ukiukwaji wa masharti 12 ya viwango vya ubora.
Katika taarifa ya Mkaguzi wa Dawa alijiridhisha kuwa kiwanda hicho hakikufanya majaribio ya dawa 3 kati 4...
Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza.
Uamuzi huo umefikiwa ambapo wanazima TV na intanenti kila siku Saa 1:00 Usiku hadi 2:30 Usiku wakiamini teknolojia hiyo...
Na Yoshita Singh
HUKU mzozo wa Ukraine ukiendelea kwa miezi kadhaa, siku ya Jumamosi lndia ililiambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba iko upande wa amani na upande unaotaka mazungumzo na diplomasia ndio njia pekee ya kutokea.
Mzozo wa Ukraine unapoendelea kupamba moto, mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.