india

  1. L

    Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  2. B

    General Manoj Pande wa jeshi la India yupo Tanzania kwa ziara ya kikazi

    Ziara ya general Manoj Pande kutoka India nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aIzo8AkcGxE Mkuu wa jeshi la ardhini la India, General Manoj Pande awasili kwa ziara ya kikazi Tanzania. General Manoj Pande amekutana na waziri wa ulinzi Dr. Stergomena Lawrence Tax, na mkuu wa majeshi ya...
  3. Roving Journalist

    Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  4. MK254

    Mtu mmoja auawa India kwa kula nyama ya ng'ombe

    Hizi dini bana, kwa waislamu ukikamatwa unakula nguruwe ni hatari, kwa wahindu ukikamatwa unakula ng'ombe ni hatari. Watu wanaishi kwa kupangiana cha kukula kwa maagizo ya miungu wao ambaye kila mmoja hamtambui 'mungu' wa mwenzake. Police in India have arrested three men in eastern Bihar state...
  5. benzemah

    Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  6. B

    G20 India, Putin aufyata tena!

    Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama: Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin. "Kwamba, hatoki mtu Moscow!" Hakutokea BRICS Sauzi na sasa hatotia mguu India. Yatasemwa mengi ila ukweli wa mambo utabakia: Ama kweli malipo ni...
  7. BARD AI

    Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Mkutano wa Jukwaa Kuu la Ushirikiano wa Kiuchumi wa Kimataifa la Group of Twenty (G20) limetoa baraka za kuupa Umoja wa Afrika Ujumbe wa Kudumu katika Jukwaa hilo ambapo sasa AU itakuwa na hadhi sawa na Umoja wa Ulaya (EU). Kwa uamuzi huo, AU itakua na sauti kwenye Kura za Maamuzi yatakayogusa...
  8. Huihui2

    India wabadili jina la nchi yao

    Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika Leo huko India muswaada...
  9. Webabu

    Baada ya kutua mwezini, India sasa yaelekea Juani

    India ndio nchi ya mwanzo kufanikiwa kutua kwenye ncha ya kusini ya mwezi ambako ndiko kwenye matumaini zaidi ya kuwepo kwa maji yatakayorahisisha kupiga kambi huko kwa ajili ya tafiti zaidi kuhusu ulimwengu. Baada ya mafanikio hayo wiki kadhaa zilizopita kwa kutumia chombo cha Chandrayaan sasa...
  10. Proved

    India yatuma chombo maalum kuchunguza jua.

    India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi. Pongezi kwa India na wanasayansi wake.... Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah.. Yoda dudus HIMARS T14 Armata Aleyn kp kipanya44 imhotep...
  11. ikhlas

    MO CARGO: Kampuni bora ya kusafirisha mizogo China, Dubai na India

    Habari za muda wadau, Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma nzuri sana na consolidation yao ipo kwa kiwango kikubwa mno, hawadanganyi wateja wala hawaongezi...
  12. Jamii Opportunities

    Tender Inviting Bids for renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam

    The High Commission of India, Dar es Salaam invites sealed quotations for work of renovation of the public toilet in the India House Dar es Salaam. The tender Document shall be available for collection by applicants from 28.08.2023 to 11.09.2023 upto 1500hrs from High Commission of India...
  13. benzemah

    Balozi wa Tanzania Nchini India Ametoa Ufafanuzi Sakata la Binti Wa Kitanzaia Anayedaiwa Kufukuzwa Ubalozini

    Ubalozi wa Tanzania nchini India umetoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania, Sayuni Eliakim aliyedaiwa kushindwa kusaidiwa ubalozini hapo kupata hati ya kusafiria ili arudi Tanzania. Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya...
  14. Pfizer

    Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  15. Pfizer

    Dkt. Biteko: Biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India

    TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI Arusha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
  16. F

    INDIA INSTITUTES OF TECHNLOGY: Kuna Mtanzania yeyote aliyesoma India anasoma vyuo vinavyosifiwa duniani?

    Habari wadau. Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india. Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of technology kwa kifupi IIT Nimejiuliza watoto wetu wa ki Tanzania waliojaa wanasoma india. Je na wapo...
  17. JanguKamaJangu

    India: Watu 49 wafariki kutokana na mafuriko

    Watu 9 kati ya waliopoteza maisha wameangukiwa na majengo huku zaidi ya watu 10 wakiwa hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi. Mafuriko hayo yamesomva magari, kubomoa majengo na kuharibu madaraja katika Majimbo ya Kaskazini ya Himalaya ya...
  18. Webabu

    India imekaribia kufika mwezini

    Chandrayaan-3's inatarajiwa kutua kabisa mwezini hapo Agosti 23, hilo likifanikia nchi hiyo itakuwa ni ya mwanzo kutua maeneo ya ncha ya kusini ya mwezi. === India's space agency has released the first images of the Moon taken by the Chandrayaan-3 spacecraft, which entered lunar orbit on...
  19. I

    Naibu Imamu auwawa katika vurugu za kidini nchini India

    Naibu Imamu ameuawa baada ya kundi la Wahindu wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuteketeza na kufyatua risasi msikiti mmoja katika kitongoji cha mji mkuu wa India, New Delhi, saa chache baada ya ghasia mbaya za kijamii katika wilaya jirani. Polisi wamemtaja mwathiriwa kuwa ni Maulana...
  20. M

    Jinsi Akili Bandia (Artificial Intelligence) ilivyoua ajira za watu huko India

    Supatech: Sumit Shah ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Dukaan, kupitia ukurasa wake wa Twitter aliufahamisha umma ya kwamba amefanya mabadiliko makubwa kwenye idara ya huduma kwa wateja ndani ya kampuni hiyo. Dukaan ni kampuni kutokea nchi India ambayo inajihusisha na mauzo mtandaoni...
Back
Top Bottom