Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo.
1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili ku-‘download’ na ku-‘install’ app ya kampuni husika.
2) Wakati wa ku-‘install’, ile app inakuomba...
Baada ya vita vya pili vya dunia uingereza kutoka na kutumia hela nyingi sana kwenye vita waliona ni mda muafaka wa kupunguza baadhi ya makoloni moja wapo likawa ni india
Kwa kipindi ambacho mwingireza ametawala india aliona itakua ngumu kwa jamii mbili za waislaimu na wahindu kukaa pamoja kwa...
KAMPUNI inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani, ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa duniani, imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS), ambacho wakurugenzi wake waanzilishi ni pamoja na wafanyabiashara wazawa Nazir Karamagi na Yogesh Manek.
Thamani ya mkataba...
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa....
Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast
The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax
Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema adhabu imepunguzwa lakini haijfafanua imepunguzwa...
Ugaidi wa kidini unaifanya Iran izidi kutengeneza maadui hata kule ambapo hakukua na ugomvi.
Ikumbukwe India ni ya nne kwa ubabe wa kijeshi duniani.
New Delhi’s defense officials vowed to bring those responsible for the recent attacks on two predominantly Indian-crewed merchant vessels to...
Muhimu sana dunia ikawa tayari kupambana na haya magaidi ya kidini yakiongozwa na kubwa lao Iran...
India has said it is sending three warships to the Arabian Sea after a drone hit an "Israel-affiliated" merchant vessel off its western coast last week.
MV Chem Pluto was attacked about 200...
Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia.
Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
Watu
Afrika ina watu bilioni 1.39 wakati India ina watu 1.42 bilioni.
Eneo
Eneo la Afrika ni kilomita za mraba milioni 30.37 na eneo la India ni kilomita za mraba 3.28 milioni. Afrika ni kubwa kama mara 10 ya India.
Uchumi, GDP nominal
Uchumi wa Afrika ni dola trilioni 2.96 wakati ule wa...
Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati?
Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo
Pesa zimepondeka kisawasawa
HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ziara ya kitaifa nchini India tarehe 9 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/4CCyGB0ET68?si=SxgeV7L3rZnjBpLi
===
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na India zimekubaliana kukuza uhusiano wao wa kihistoria baina...
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni...
KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani.
India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.