Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia imejitolea kufanya kazi hiyo.
Dalili za mafanikio zimeonekana wakati India imesema ipo tayari kwa mazungumzo yenye lengo la kusititisha vita,hata hivyo ikasisitiza kuwa upole wake huo usije ukatafsiriwa vibaya kwani ina uwezo wa kufanya kama ilivyokuwa jana.
Indian Defence Minister Rajnath Singh has said New Delhi is willing to resolve conflicts through dialogue but warned against taking “unfair advantage” of its patience.
“We have always played the role of a responsible nation. We have always been in favour of resolving problems through dialogue,” Singh stated during his address, as reported by Indian news agency ANI.
“But this does not mean that anyone should take unfair advantage of our patience. If anyone tries to take advantage of our patience, then they will have to be fully prepared to face ‘quality action’ just like yesterday.” aljazeera

India emphasises dialogue but pledges ‘quality action’ if patience is tested