Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Vita kati ya wababe wawili wa nyuklia vimeisha haraka.Hiyo ni kwa mujibu wa tangazo la raisi Trump wa Marekani.
Kwa upande mwenine juhudi kubwa zinaendelea mjini Kyiv ili kusimamisha vita kati ya Ukraine na Urusi.
Vita ambavyo vimekuwa vigumu kusimamishwa ni vile kati ya Israel na wapalestina.