Pakistan kaomba mkopo wa dharura jana IMF na kapewa.
Wakianza vita hawamalizi mwezi Pakistan anakuwa defunct kiuchumi.
Na wakizubaa Pakistan inakoma kuwepo duniani, Balochistan kule waasi wamekaa chonjo na majimbo mengi tu wanataka wajitenge na hiyo nchi. Last time Pakistan inajitenga ni India waliisaidia Bangladesh ikiyokuwa East Pakistan ijitenge.
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:
1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.
Tuli predict hilo kwamba, hawa watu watapatanishwa by force, kuna mmoja hapo ni mwehu mwingine mstaarabu, mwehu anaweza kubonyeza button ya nuclear ikawa shida. Walau tunaweza kuelewa why Iran inapigwa vita wasiwe na silaha za nuclear
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:
1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:
1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.
We jamaa propaganda za wahindi zimekukamata na ku kuingia hasa hasa.
1. Balouch wapo checkpointed na Iran, sio Pakistan wanaowatisha waasi wa Balouch bali Iran, kuna video zinasambaa za miaka ya nyuma tena feki naona ndio umeziona.
2. Huo mkopo kwenye thread nyengine ushajibiwa ni wa mwaka jana na hio $1B ni part tu ya $7B watakayopewa na Imf bloomberg wameelezea hapa
3. Sio Pakistan alioanzisha vita na sio Pakistan aliomaliza vita, India wamesanda, Kuwa hacked satelite zako, kuwa hacked Email server zako, Coordinates zote za ndege kutolewa, zikadondoshwa zilizodondoshwa hadi Voice za baina ya Marubani na viongozi wao wa Jeshi kuwekwa hadharani, inshort India ni joker sasa hivi media za kimataifa si West wala si East ni kama China na West wanammock India sasa hivi.
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:
1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.
Hapa nilisema airbases tu, India imeshambulia 3 za Pakistan na 4 Airforce members wa Pakistan wameuwawa.
Tukienda kwenye facilities nyingine, India imeshambulia bandari ya Karachi na various other facilities.
Wakati huo Pakistan ikakimbilia IMF kukopa, sasa nani alitaka vitaa iishe kati ya anayejitegemea kiuchumi na anayekopa IMF. Tena mkopo wenyewe $1 billion.
Sijawahi sikia nchi inapokea baillout hapohapo inataka vita.
Kwahiyo Balochistan hakuna separatists na hawashambulii wala kupigana na jeshi la Pakistan ndio unachomaanisha? Hii bendera unaijua? View attachment 3330077
Nazungumzia kesi ya Pakistan hapa, achana na mashambulizi ya Iran. Mwaka jana Iran ilipotuma makombora ndani ya Pakistan unadhani yalilenga watu gani? Pakistan ni wapuuzi wanafuga makundi ya kigaidi hawayazuii wakipigwa wanalialia. India na Iran huwa zinailalamikia sana.
Source yako mwenyewe uliyoleta hata hujui kuisoma. Tarehe 9 May 2025 si ni jana hapo? Source yako inaonyesha walipewa mkopo jana, yani wanataka vita alafu wanakopa $1 billion, sasa utapiganaje na India kwa mkopo wa IMF😂 View attachment 3330076
Leta casualties na destruction tuone nani kafeli vita. Wewe leta destruction zilizofanyika India picha na video mimi naleta zilizofanyika Pakistan.
Ndio maana kila siku nasema Comprehension ni janga la Taifa,
Hakuna mtu anasema huo mkopo haujatolewa jana, Mkopo umeombwa toka Mwaka jana, has nothing to do na hio vita, wewe toka mwanzo una claim kama huo mkopo ni wa dharura wa Vita, wakati mkopo uliombwa toka mwaka jana na unakuja kidogo kidogo.
Balouchistan ipo katikati ya Iran na Pakistan eneo lao limegawanywa mara 3 kipande kipo Afghanistan, kipande Pakistan na Kipande Iran, siku zote linapokuja Suala la waasi wa Balouchistan Pakistan na Iran wana shirikiana even though hizo nchi hazina diplomasia nzuri, Balouch Stan ni kama wakurdi tu, wakifanya kitu popote wanachangiwa na nchi jirani.
Hakuna ushahidi wowote wanavamia ama hata wame raise jeshi zaidi ya propaganda za India Twitter ambazo unazimeza hivyo hivyo hadi kuvimbiwa na kutapika humu ndani.
Afu kuna.mdosi hapa alisema target yao ni China nikamwambia nyie level yenu Bangladesh hata Pakistan mkimshinda basi mimi nipo dunia ingine sio hi tunayo ishi. India hana skills za kupigana. India ukiniambia kwa kupika paratha na dali hapo ningekuambia hamna wa kumshinda 🤣
Ndio maana kila siku nasema Comprehension ni janga la Taifa,
Hakuna mtu anasema huo mkopo haujatolewa jana, Mkopo umeombwa toka Mwaka jana, has nothing to do na hio vita, wewe toka mwanzo una claim kama huo mkopo ni wa dharura wa Vita, wakati mkopo uliombwa toka mwaka jana na unakuja kidogo kidogo.
Balouchistan ipo katikati ya Iran na Pakistan eneo lao limegawanywa mara 3 kipande kipo Afghanistan, kipande Pakistan na Kipande Iran, siku zote linapokuja Suala la waasi wa Balouchistan Pakistan na Iran wana shirikiana even though hizo nchi hazina diplomasia nzuri, Balouch Stan ni kama wakurdi tu, wakifanya kitu popote wanachangiwa na nchi jirani.
Hakuna ushahidi wowote wanavamia ama hata wame raise jeshi zaidi ya propaganda za India Twitter ambazo unazimeza hivyo hivyo hadi kuvimbiwa na kutapika humu ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.