Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

Vita vya India na Pakistan ghafla vimesimamishwa

Sa we unategemea nini India walikianzisha wameona mwimba umewakaa kwenye koo wameomba poa.

Pakistan wawarushie sa Missiles kama za.mvua kabla ya time ya kusimamisha vita.

Niliwambia baniani toka lini akajua vita
India na Pakistan wote ni wahindi
 
Hii itaisha tu soon maana Ukraine ni kama wamekubali kauli ya Us kuwa waache Crimea wapate amani au wakomae wapoteze nchi yote.
Kupoteza nchi yote kwa hili jeshi la Russia haiwezekani kabisa, hilo Russia wasahau.
 
Leta video za zote tatu. Naleta za kwangu mbili nilizosema:

1. Rahim Yar Khan Air base, Pakistan. Kuna missile craters mpaka zianze kuwepo flights hapa ni mpaka wafulie mashimo otherwise ni kuvunja landing gears za ndege.

View: https://x.com/clashreport/status/1921160828759249281?t=LWX2EuQ_7nsUFEe8LfADuQ&s=19

2. Bholari Air base, Pakistan.

View: https://x.com/clashreport/status/1921147641548751289?t=Yw3aR1fpvCaIBDcXqDZy_g&s=19

Nyongeza:

View: https://x.com/clashreport/status/1921146673180410026?t=tD1RnMC9KOwe-0dhOvzVJw&s=19

Nyingine: Sargodia Aie base, PakistanView attachment 3330079

We mbishi aliyo sema ni kweli hi hapa habari inasema pakistan wamepiga base tatu za India


View: https://youtu.be/IvVPtZ02ohw?si=4BNMsdFWHBTertqR
 
Vita ni kati ya india vS pakistan,

Refa; kapteni amerika,

Refa baada ya kuchungulia akaona upande ambao anashabikia unaelekea kuumbuka akaamua asimamishe vita,

Ina maana refa angeona india ndo ina nafasi kubwa ya kuwamudu pakistani wala asingesimamisha vita.
 
Kuna habari trump atatangaza kuitambua palestine huko saudia, netanyahu kaleta usnich
Anaweza.Israel iko njiani kuachwa mkono na Marekani.Tuone kama ataendelea kuonea wapalestina tena.
 
Simu moja tuu kutoka kwa Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Than 🤴 of Qatar akili zikawarudia
 
Back
Top Bottom