mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za india kuruka kupitia anga yake zinazoelekea marekani.
Awali ndege za shirika la ndege la air India zilikuwa zikitumia masaa 14 na dakika 47 kutoka new delhi(DEL) hadi marekani Chicago(ORD) kwa umbali wa kilometer 12,452. lakini kutokana na migogoro baina ya india na pakistan sasa route imebadilishwa na kufanya safari iwe masaa 19 na dakika 7 ambao ni umbali wa kilometer 14,712. Sasa shirika la air India limetoa utaratibu mpya wa kutaka ndege zake ziwe zinajaza mafuta kwenye miji ya Vienna austria na Copenhagen denmark (refueling stops). Hivyo kumefanya kuongezeka kwa gharama za uendeshaji.
Source: flightradar24.com